Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

Hali si Hali nchini Tanzania.

Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.

Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa.

Inaelezwa kuwa, tangu Serikali hii kuingia madarakani kuna madili makubwa sana yanafanyacna Familia ya Rais Samia na watu wachache wanaomzunguka.

Inaweza wakasema wanafanya hayo kwa sababu ya shambolic ya Akaunti za Serikali na Taasisi zake ila inaelezwa kuwa ukweli ni kwamba wanafungia Mitandao ya Kijamii kuwazuia Watanzania wasione nyaraka zinazorushwa zinavyoonesha Nchi inavyotafunwa na watu wachache.
Wapandishe kodi kufidia upotevu huo.
 
Kweli,X imekuwa ngumu nikahisi labdackacmu kangu ni 3G nikata na kubadili lakini lakini wapi.
 
Kwa sasa nimewaelewa sana watu wanaomlaumu Mabeyo.

Tuombe sana Watokee Wazalendo JWTZ wafanikishe hili. Hii nchi inaliwa kwa kiwango cha kutisha na hawa elites wa CCM.
Usiwatarajie wafanye chochote hata iweje, hao wote ni walewale.
 
Hali si Hali nchini Tanzania.

Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.

Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa.

Inaelezwa kuwa, tangu Serikali hii kuingia madarakani kuna madili makubwa sana yanafanyacna Familia ya Rais Samia na watu wachache wanaomzunguka.

Inaweza wakasema wanafanya hayo kwa sababu ya shambolic ya Akaunti za Serikali na Taasisi zake ila inaelezwa kuwa ukweli ni kwamba wanafungia Mitandao ya Kijamii kuwazuia Watanzania wasione nyaraka zinazorushwa zinavyoonesha Nchi inavyotafunwa na watu wachache.

mwaka huu kuna mtu atakufa kwa presha
 
Mkuu tunazo Tyr..
 
Hatar
 
Back
Top Bottom