Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #21
Mimi mwenyewe imeibidi ni download na kuweka vpn ndo nimeweza lu access mitandao.Wewe ni muongo watanzania wanaangalia taarifa za habari kupitia mitandao ya kijamii bila wasiwasi
Labda kama upo nje ya TzMboni mimi bila VPN napenya
Wapandishe kodi kufidia upotevu huo.Hali si Hali nchini Tanzania.
Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.
Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa.
Inaelezwa kuwa, tangu Serikali hii kuingia madarakani kuna madili makubwa sana yanafanyacna Familia ya Rais Samia na watu wachache wanaomzunguka.
Inaweza wakasema wanafanya hayo kwa sababu ya shambolic ya Akaunti za Serikali na Taasisi zake ila inaelezwa kuwa ukweli ni kwamba wanafungia Mitandao ya Kijamii kuwazuia Watanzania wasione nyaraka zinazorushwa zinavyoonesha Nchi inavyotafunwa na watu wachache.
Fafanua .mabeyo how?Mabeyo na genge lako mnaona sasa tamaa za matumbo mlipofikisha hii nchi? Wewe ni mkatoliki utaingia moyoni kwa kulisukuma taifa kwa mikono ya shetani
Nadhani umekusudia MOTONI na si mioyoni.Mabeyo na genge lako mnaona sasa tamaa za matumbo mlipofikisha hii nchi? Wewe ni mkatoliki utaingia moyoni kwa kulisukuma taifa kwa mikono ya shetani
Mtandao upo chini sana hukombona tunaingia huko x [emoji2], au simu tatizo
Nipo ndani na inashika fresh kabisaLabda kama upo nje ya Tz
Mimi natumia km kawaida hakuna shidaMtandaonupo chini sana huko
Hakuna walichofunguaKumbe kweli wamefungia aisee
Mimi mbona natumia Instagram and FBLabda kama upo nje ya Tz
Kweli,X imekuwa ngumu nikahisi labdackacmu kangu ni 3G nikata na kubadili lakini lakini wapi.Hali si Hali nchini Tanzania.
Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.
Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa.
Inaelezwa kuwa, tangu Serikali hii kuingia madarakani kuna madili makubwa sana yanafanyacna Familia ya Rais Samia na watu wachache wanaomzunguka.
Inaweza wakasema wanafanya hayo kwa sababu ya shambolic ya Akaunti za Serikali na Taasisi zake ila inaelezwa kuwa ukweli ni kwamba wanafungia Mitandao ya Kijamii kuwazuia Watanzania wasione nyaraka zinazorushwa zinavyoonesha Nchi inavyotafunwa na watu wachache.
Ilikuwa ni Constitution - Katiba, tutamwondoa tu, na atafungwa wala usimlaumu Mabeyo, aliheshimu katibaMabeyo na genge lako mnaona sasa tamaa za matumbo mlipofikisha hii nchi? Wewe ni mkatoliki utaingia moyoni kwa kulisukuma taifa kwa mikono ya shetani
Usiwatarajie wafanye chochote hata iweje, hao wote ni walewale.Kwa sasa nimewaelewa sana watu wanaomlaumu Mabeyo.
Tuombe sana Watokee Wazalendo JWTZ wafanikishe hili. Hii nchi inaliwa kwa kiwango cha kutisha na hawa elites wa CCM.
Hali si Hali nchini Tanzania.
Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.
Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa.
Inaelezwa kuwa, tangu Serikali hii kuingia madarakani kuna madili makubwa sana yanafanyacna Familia ya Rais Samia na watu wachache wanaomzunguka.
Inaweza wakasema wanafanya hayo kwa sababu ya shambolic ya Akaunti za Serikali na Taasisi zake ila inaelezwa kuwa ukweli ni kwamba wanafungia Mitandao ya Kijamii kuwazuia Watanzania wasione nyaraka zinazorushwa zinavyoonesha Nchi inavyotafunwa na watu wachache.
Mkuu tunazo Tyr..Hali si Hali nchini Tanzania.

Kikundi cha kutoa banKwani huu sio mtandao wa kijamii
HatarHali si Hali nchini Tanzania.