Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

Mimi nashangaa kusikia mitandao ya kijamii imefungwa, Kwangu iko vizuri iwe Insta,X,fb ziko poa.
 
Instagram unapatikana bila VPN, Ila X ndiyo inagoma
 
Una ushahidi wa hayo yanayosemwa na Mange?
 
Ila mabeyo sijui mwanaume gqni unakuwa muoga vile

Ona sasa nchi inatafunwa km mchwa😡
Sio mwanaume tu Bali generali kabisa ..ningekua Mimi mabeyo hio siku ningetembeza matusi kwa kila mwenye kiherehere na ningewapa statement Moja tu..nchi tunachukua jeshi, Hadi uchaguzi huru na WA Haki ufanyike ndio tukabidhi kijiti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…