Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

Atalaaniwa mpaka kufa. Hata mimi nisiye na ujuzi wowote wa intelijensia nilikuwa najua kabisa kuwa huyu mama hana uwezo, aliwekwa pale kusindikiza. Unapoona nchi iko kwenye hatari, katiba inaweza kupindishwa.
Kabisa kabisa mkuu,tulidhumumiwa nchi
 
Weka bundle mbona unafunguka tu kama kawaida
 
Wanajidanganya tu hapo, kama walifungia tovuti za ngono na bado watu wanaendelea nazo kama kawaida ,washindwe kuendelea na hiyo X?halafu mwanga wa jua huwa haufichwi kwa mwamvuli
 
Mabeyo na genge lako mnaona sasa tamaa za matumbo mlipofikisha hii nchi? Wewe ni mkatoliki utaingia moyoni kwa kulisukuma taifa kwa mikono ya shetani
..muulize mabeyo na ukatoliki wake feki..vile vitalu vya dhahabu ushirombo anachimba mwanae ni halali..? Familia ya mkuu wa majeshi inachimba dhahabu hivi bado kuna mtu utamwamini kwenye huu utawala..?
 
Habari,

Imekua tangu mida ya alasiri kila nikiingia mtandao wa X (Twitter) sipati updates Wala uwezo wa kuutumia.
Awali nilidhani pengine nimeishiwa Salai la mtandaoni (MB's) nikajiunga lakini imeshindikana na hata sasa usiku huu wa manane sioni kitu.

Naomba mnisaidie pengine ni changamoto ya simu yangu ama ni kweli mtandao umezimwa ??? Nimehisi hivo pengine kwa fujo za ndugu zetu wakenya walizoamka nazo kwa mama yetu na idara zetu.

Nawasilisha!!
 
Twitter x ipo down mkuu tumia VPN
 
bas leo nimedhan bando sina. kila nikiingia tweeter hola. lakin kwingine kunafunguka
 
Rais mwenyewe anapost kwa kutumia VPN, @ikulumawasliano wamepost ugeni wa Rais wa Namibia kwa kutumia VPN hakuna kesiiiiiii apa. Msitutishe 😂


 
Kama hapa ni where we dare to speak the truth hii mods wasiifute
 

Attachments

  • Screenshot_20250521-111149.jpg
    433.1 KB · Views: 21
Bila VPN huwezi ku access
Na hizi VPN nying zina spy simu zote yan uki install tu wanachukua taarifa zako wanauza kwa developers,mimi nilifutilia mbali..ukitaka kujua ni kwel iweke halafu angalia chaji ya simu yako inavyokatika kwa kasi ya 4G simu inakua nzito na joto linapanda hapo jua taarifa zako zinadukuliwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…