Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate.

Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu ili wakaandamane Bado hawataenda 🤣najua kuna watu humu ni wagumu wa kusoma alama za nyakati, lakini hata CUF iliwahi kutikisa nchi hii achilia mbali NCCR mageuzi enzi za akina mabere malando.
 

Sasa mnapanick nini .....!!? Tuacheni tufanye Maandamano yetu muone.
 
Haya ndio matamanio ya Kila jizi la kura la ccm.
 
Wewe mpumbavu hakuna kiongozi aliyechokwa kama huyo ajuza wenu anayelilia ichapishwe fomu Moja ndani ya chama. Utopolo mtupu. Haya Wahi Lumumba ukachukue Hela ya lunch.
 
Tena sasa kimezama mioyoni mwa uvccm wote ikiwa ni pamoja na mganguzi pamoja na luka mwashamba🤪😝
 
Wasichana wa uswazi mkiachika huwa mnawachamba sana mahawara zenu na kutukana wapita njia.Sijui huwa mmepandwa maruhani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…