Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Vyama vipo 19 lakini kutwa inatajwa CHADEMA pekee
Katibu Mkuu ADC: Tulipanga kufanya maandamano kuunga mkono miswada ipitishwe kuwa sheria lakini CHADEMA wakatuwahi
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya...