Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate.

Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu ili wakaandamane Bado hawataenda 🤣najua kuna watu humu ni wagumu wa kusoma alama za nyakati, lakini hata CUF iliwahi kutikisa nchi hii achilia mbali NCCR mageuzi enzi za akina mabere malando.
Ndiyo maana unaiwaza sana hadi unaianzishia uzi
 
Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate.

Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu ili wakaandamane Bado hawataenda [emoji1787]najua kuna watu humu ni wagumu wa kusoma alama za nyakati, lakini hata CUF iliwahi kutikisa nchi hii achilia mbali NCCR mageuzi enzi za akina mabere malando.
Hakuna anayekuamini, uwongo uwongo
 
Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate.

Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu ili wakaandamane Bado hawataenda 🤣najua kuna watu humu ni wagumu wa kusoma alama za nyakati, lakini hata CUF iliwahi kutikisa nchi hii achilia mbali NCCR mageuzi enzi za akina mabere malando.
taja vyama vitatu vya upinzani Tanzania vyenye umaarufu na sababu ya umarufu wao. usiitaje chadema na sababu za kupoteza umaarufu wake.
chama kilichopoteza umaarufu kinataka kufanya maandamano hadi wanajeshi wanaagizwa kufanya usafi. yaaani ni sawa na kusema leo kwamba chama cha mtikila wanataka kuandamana halafu usikie hata mjumbe wa mtaa kama atakuwa na habari nao
MLISOMA WAPI WENZETU AMBAO HATA HAMKUFUNDISHWA COMPARISON ANALYSIS
 
Back
Top Bottom