Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

Vyama vipo 19 lakini kutwa inatajwa CHADEMA pekee
 
Umeisema kwa sababu ulisahau kuifuta moyoni mwako.
 
Umenena kweli mkuu,ndio maana Mimi nashauri hawa watu Wawa ache wafanye tumaandamano twao Ili wajichore vizuri kwa wananchi.
 
Viongozi wenyewe wameshachoka kimwili na kiakili.

Tamaa inawaponza , wanaiponda CCM ila nao wanafanya yale yale.

Hawataki kuachia madaraka chama kimegeuka mali binafsi za watu.

Kama chama ni itikadi kwani Viongozi wabakie wale wale??
 
Ni kweli badala ya kupigania bei ya mafuta kushuka wao wanataka kila jimbo liwe na wabunge 2 !!!!! Aaaaaagh CHADEMA mnafeli wapi mbona sisi maskini tunawategemea!!!!
 
Tegemea matusi na sio nguvu za hoja.Wamekuwa mahiri sana kwenye kutukana hilo halipingiki.Second to none.
Hata viongozi wao ni kutukana tu kimekuwa chama cha matusi. Wataanza kutukanana wao wenyewe wakimaliza kutukana wengine.
 
Reactions: Tui
Ipo kwenye moyo wa mama yako
 
And here you're talkin about them... hakina mvuto na bado kinawakosesha usingizi
 
Wao wakiona wamesahulika kutajwatsjwa huja na hizi mambo ya maandamano
Ili wasisahaulike. Unaandamana kwa mtu kutaka tume huru ili wwnasiasa wapate ugali wao.. badala ya kuandamana kwa bei ya sukari nauli na mafuta huo si ujinga huo
 
Reactions: Tui
Tegemea matusi na sio nguvu za hoja.Wamekuwa mahiri sana kwenye kutukana hilo halipingiki.Second to none.
Hicho chama kingekua kimepoteza mvuta hata hii comment yako isingekuwepo.
Ukiona watu wanasema sana ndo umaarufu unapanda.
Hizi platform zinapaisha vyama.
Ukipita huku mtandaoni maswala yanayohusu vyama basi 80% ni kuhusu chadema(aidha kwa uzuri au ubaya)
 
Hapa bhn mchawi uwe na kadi za vyama vyote mwendo wa kuka mjini tu
 
Sasa mnapanick nini .....!!? Tuacheni tufanye Maandamano yetu muone.
Maandamano yakifanywa na Chadema ni fujo, lakini yakifanywa na CCM kumpongeza Samia kwa kuzuia maandamano ya Chadema hiyo ni demokrasia. Mpuuzi mmoja anakwambia Chadema imepoteza mvuto wakati ni chama pekee tishio kwa chama cha mafisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…