Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

Pumbafuuuu wewe lumumba
Sikuwa nategemea kingine kwani sera zenu ni matusi na kejeli.Zilianza kwa viongozi wenu na nyie mnaendelea nazo hamna cha ajabu.Aluta Continua genge la matusi na kejeli.
 
Mleta mada kama ulijichanganya na ukabebeshwa tumbo na kijana wa chadema hayo yalikuwa ni makubaliano yenu msikiingize chama kwenye shidabzenu wakati mnatafutanana hamkuleta muhtasari ofisini Wala Kwa kiongizi yeyote na huyo chotara utakaemleta duniani utamleta cdm kwenye asili yake Ili asigeuke kuwa chawa
 
Usijifanye chizi wakati mungu amekupa akili itumie vizuri akili Ni neema unasemaje chadema imepoteza mvuto wakati Kila saa unaitaja chadema kama mvuto Haina mbona utaji chama chako ccm chama kilichopoteza mvuto hata kama kikitoa tamko watu hawashughuliki nacho kakini hio chadema unaosema imepoteza mvuto ikiongea kidogo viongozi wa chama chako wanapagawa wanatoa matamko mbalimblia mara tutafanya usafi masaa 24 halafu uzuri wake unajua kama unajitoa akili ndio maana ulivyo andika utumbo wako uka anza kujihami ooh mtaa anza kutukana
 
Hakipo kwenye moyo wako wewe na wa mumeo.
Sio kutusemea wote sisi wengine akili zetu zinafanya kazi. Hatupendi uchawa.
 
mkuu hapa umeongea ukweli mtupu, najua manyumbu ndio yananufaika na watakuja kukutukana hapa soon
 
Reactions: Tui
Unapoteza muda.........Chadema ni IDF ccm ni Hamas.

Juzi wameitana.....watashindwa tu.
 
WACHA WEEEEEEEE.......WEWE CCM IPO MOYONI MWAKO?????????????????????
 
Yaani umaarufu wa chama unapanda kwa matusi?Sera na kutatua matatizo ya watanzania na kushiriki kwenye mikakati ya kutatua matatizo ndio inafanya chama kiaminike.Sera za matusi na kukosoa tu bila kuleta solution zimepitwa na wakati.
 
Waliondoka kupigania ufisadi, rushwa kuuza nchi.

Hivi sasa sera yao ni ipi?
 
Reactions: Tui
Ndio kwanza CDM wanapendwa na wanaonekana mkombozi pekee wa watanzania, wengine wote hawapo kabisa CUF, ACT, UDP, hata havijulikani tena kama kuna vyama kama hivyo! Peopleeeeees!...
 
Hicho ccm hana mbwa hakithamini..wanaishi kwa kutegemea policeccm na NEC kama ccm wa kiume...wekeni tume huru muone kama hamjasahulika
 
Wewe moyo wangu waujua?
 
Yaani umaarufu wa chama unapanda kwa matusi?Sera na kutatua matatizo ya watanzania na kushiriki kwenye mikakati ya kutatua matatizo ndio inafanya chama kiaminike.Sera za matusi na kukosoa tu bila kuleta solution zimepitwa na wakati.
matusi yametukanwa lini.

ukichangia tu hapa unaongeza point kwa chadema.
 
sasa si mruhusu maandamano ya amani, kutisha wananchi kwamba mtajaza polisi 3000 na jwtz 5000 ili kuzuia waandamanaji ni wazi chadema ni lidude likuubwa serikali ya ccm inawaogopa... sasa hata watu wasipojitokeza tayari sababu inajulikana, kuogopa kuumizwa na hayo majeshi ya chalamila.
haya maneno ya kufarijiana sebuleni wakat mnaiogopa chumbani hayana maana.... chadema ni real threat kwa ccm kuliko chama chochote ndio maana hamuwapi uhuru wa kufanya lolote...
kutoa tu maoni kina mnyika wamesumbuliwa...poor ccm puaaaaaa
 
Tathmini inaonesha Tanzania inaongoza kuwa a nguvu kazi dhaifu na raia wajinga kusini mwa jangwa la sahara. Quality of Human capital index. Hata Malawi wanatuzidi.
Source. Mimi mwenyewe
 
Nakubaliana na wewe.
Na hii ni fursa kwa CCM kupata Ushindi usiolalamikiwa kuwa umeibwa.
CCM wahakikishe inapatikana Tume Huru ya Uchaguzi ili iichape CHADEMA kwenye chaguzi mwaka huu na Mwaka kesho.
Tuwaambie Viongozi wa CCM waache uoga juu ya Tume Huru ya Uchaguzi
 
Hak
Hakuna chama chochote chenye mvuto now, vyote vimechokwa, si kile kilicho madarakani wala walio nje ya mfumo

Ote kwa pamoja si MUNGU wetu kawaweka pale walipo bali nguvu mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…