Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

Ndiyo maana unaiwaza sana hadi unaianzishia uzi
 
Hakuna anayekuamini, uwongo uwongo
 
taja vyama vitatu vya upinzani Tanzania vyenye umaarufu na sababu ya umarufu wao. usiitaje chadema na sababu za kupoteza umaarufu wake.
chama kilichopoteza umaarufu kinataka kufanya maandamano hadi wanajeshi wanaagizwa kufanya usafi. yaaani ni sawa na kusema leo kwamba chama cha mtikila wanataka kuandamana halafu usikie hata mjumbe wa mtaa kama atakuwa na habari nao
MLISOMA WAPI WENZETU AMBAO HATA HAMKUFUNDISHWA COMPARISON ANALYSIS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…