Kwa sasa Heche ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA hadi Lissu atakapokuwa huru. Utake usitake

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama.

Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye Mwenyekiti. Mlingoti chuma bendera chuma.

Heche mnamuona mdogo lakini kiti chake kikubwa. Ndiye anayeamua Siasa za Tanzania ziendeje. Akisema hakuna maridhiano ni hakuna.

Hata mkitaka kumchafua, hachafuki, hana makandokando, hakwepi kodi, mcha Mungu.

Hata mumtukane hajibu.. Yeye kazi yake ni moja tu, kuifikisha Tanzania nchi ya ahadi.

Safari hii chama cha Wauaji, Mafisadi na Watekaji mtanyooka. Haogopi wala hatishiki.

Chuma kwelikweli. 💪
Screenshot_20260710_084818_Chrome.jpg

Pia soma: Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa
 
Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama.

Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye Mwenyekiti. Mlingoti chuma bendera chuma.

Heche mnamuona mdogo lakini kiti chake kikubwa. Ndiye anayeamua Siasa za Tanzania ziendeje. Akisema hakuna maridhiano ni hakuna.

Hata mkitaka kumchafua, hachafuki, hana makandokando, hakwepi kodi, mcha Mungu.

Hata mumtokane hajibu.. Yeye kazi yake ni moja tu, kuifikisha Tanzania nchi ya ahadi.

Safari hii mtanyoka. Haogopi wala hatishiki.

Chuma kwelikweli. 💪

Pia soma: Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa
UMEPIGILIA MSUMARI UNAPOTAKIWA
 
Siku zote ogopa sana kuitwa nyumbu!! Ukiwa mbishi basi jaribu uone kama hutoishia kuwa zwazwa kama nyumbu hawa waliopo humu.
 
Ukitaka kujua ni noma CHADEMA na viongozi Hawa, angalia kina Lukas mwashambwa na nduguye tlahtlah wanavyohangaika na kuanzisha nyuzi Kila muda!
 
Heche amewashindilia dole maccm wote hadi wanakodi vibaraka kutoka ndani ya Chadema kumkabili, wapumbavu sana hawa majizi ya kura yaliyokubuhu.
 
Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama.

Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye Mwenyekiti. Mlingoti chuma bendera chuma.

Heche mnamuona mdogo lakini kiti chake kikubwa. Ndiye anayeamua Siasa za Tanzania ziendeje. Akisema hakuna maridhiano ni hakuna.

Hata mkitaka kumchafua, hachafuki, hana makandokando, hakwepi kodi, mcha Mungu.

Hata mumtokane hajibu.. Yeye kazi yake ni moja tu, kuifikisha Tanzania nchi ya ahadi.

Safari hii mtanyoka. Haogopi wala hatishiki.

Chuma kwelikweli. 💪

Pia soma: Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa
💪🏼💪🏼💪🏼
 
Mbona Abdul anawapiga kila siku na hamsemi
 
Back
Top Bottom