Kwa sasa Heche ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA hadi Lissu atakapokuwa huru. Utake usitake

Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama.

Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye Mwenyekiti. Mlingoti chuma bendera chuma.

Heche mnamuona mdogo lakini kiti chake kikubwa. Ndiye anayeamua Siasa za Tanzania ziendeje. Akisema hakuna maridhiano ni hakuna.

Hata mkitaka kumchafua, hachafuki, hana makandokando, hakwepi kodi, mcha Mungu.

Hata mumtukane hajibu.. Yeye kazi yake ni moja tu, kuifikisha Tanzania nchi ya ahadi.

Safari hii chama cha Wauaji, Mafisadi na Watekaji mtanyooka. Haogopi wala hatishiki.

Chuma kwelikweli. 💪

Pia soma: Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa
nakubali gentleman 🐒
 
Attachments

  • 1000006486.png
    1000006486.png
    1.6 MB · Views: 13
Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama.

Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye Mwenyekiti. Mlingoti chuma bendera chuma.

Heche mnamuona mdogo lakini kiti chake kikubwa. Ndiye anayeamua Siasa za Tanzania ziendeje. Akisema hakuna maridhiano ni hakuna.

Hata mkitaka kumchafua, hachafuki, hana makandokando, hakwepi kodi, mcha Mungu.

Hata mumtukane hajibu.. Yeye kazi yake ni moja tu, kuifikisha Tanzania nchi ya ahadi.

Safari hii chama cha Wauaji, Mafisadi na Watekaji mtanyooka. Haogopi wala hatishiki.

Chuma kwelikweli. 💪

Pia soma: Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa
Ndio maana anakula tu mihela ya chama na hakuna wa kumzuia au kumfanya chochote!
 
Ila wakila CCM, wezi sio? Ahahahahaha! We kweli inaijua siasa!
CCM wanakula kodi hela za Miradi ndo maana unaona miradi yote imekwamba.. Kwanini Mnakula Kodi za walala hoi? Hamna huruma kwa nini?

Acha kula. Hivi kwanini mnateka watu na kuwaua.. Kwanini mnamwaga damu? Je, Chama chenu ni cha kuteketeza uzao wa Mungu?
 
Ni kina nani wanamchafua?
Mkui kweli hujaona wanaomchafua kwenye hivyo vi media uchwara?
Nasikitika kuna watumishi wa umma baadhi wamejiingiza kwenye hizo siasa za kipumbavu. Unakuta mtu anajisifia kwamba ana exposure ya kutosha ndani na nje ya Tz lakini linapokuja suala la kisiasa exposure yote anaifungia kwenye purse anaamua kutumia feelings mwanzo mwisho.
 
Sijaona niambie kwa ufupi wanamchafuaje nipate cha kuchangia

Nasikitika kuna watumishi wa umma baadhi wamejiingiza kwenye hizo siasa za kipumbavu. Unakuta mtu anajisifia kwamba ana exposure ya kutosha ndani na nje ya Tz lakini linapokuja suala la kisiasa exposure yote anaifungia kwenye purse anaamua kutumia feelings mwanzo mwisho.
Watu watumia ma feelings mwanzo mwisho ngoja tuone itakuaje
 
Back
Top Bottom