Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Uungwana ni vitendo lakini mboni haujajibu Sasa au umeona nakulaghai?Wala isiwe tabu mkuu. Hiyo topic acha iishie hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uungwana ni vitendo lakini mboni haujajibu Sasa au umeona nakulaghai?Wala isiwe tabu mkuu. Hiyo topic acha iishie hapa
Unawazimu siyo bure weweUungwana ni vitendo lakini mboni haujajibu Sasa au umeona nakulaghai?
Umesema unapenda kuliwa kimasihara Sasa shida ipo wapi hapo? Watu tunataka kulowekaUnawazimu siyo bure wewe
Hongera mkuu kwa kushtuka mapema maana kwa wengi ni maumivu 👏🏾👏🏾Ahsantee kwa Somo, at least niliyafanya haya kwa kiasi, leo inasaidia kwa kiasi.
Na kuna watu walianza Kama wagonjwa Sasa Ni wamiliki wa Hospital,wengine kama migambo Sasa Ni maboss wa usalama wa Taifa.Basi lala mkuu! Maana huwa tunasaidiana hivi kuamshana kifikra, hakuna wa kukushika mkono ila wewe mwenyewe.
As a matter of fact, kuna graduates walianza kubeba zege ili tu wafahamike na kupata connection, sio rahisi ila utalala ndani kusubiri Samia akupe kazi hadi lini?
Wewe huna mtu highly placed,ukiwa na mtu ajira ni immediate.Pole sana.Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%.
Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu ya vyeti vya chuo kikuu haina mchango wowote wa mhitimu wa level ya degree kuweza kujiajiri moja kwa moja. Hapa chini ni baadhi ya fani zinazoangukia kwenye kundi hilo.
1. Public administration
2. Political science
3. Business administration
4. Procurement and supply
5. Human resource
6. Sociology
7. Environment
8. Language
9. Mass communication
10. Tourism
11. Banking
12. Accounting
13. Economy
14. Finance
15. History
16. Insurance
17. Tax
18. Cooperative
19. Marketing
20.
Kama wewe ni mhitimu wa hizo fani kwa miaka ya karibuni utaelewa hicho nilichokiandika, na kama wewe ni mwanafunzi wa hizo fani anza kujiandaa kisaikolojia, hali ni mbaya mtaani. Wahitimu ni wengi na hawana ajira yoyote, wamechoka vibaya, wameshazunguka na mabahasha mpaka soli za viatu kuchakaa, wamejitolea mpaka basi, wameshikiza mpaka wamedondoka na wengi wamekata tamaa kabisa, vyeti vyao wamesahau hata vipo wapi, havina msaada. Bado wanakula, kulala na kutunzwa na wazazi wao, mashemeji au wajomba. Wengine wameamua kujiajiri katika fani zingine ambazo hazina uhusiano wowote wa fani walizosomea na zenye kuhitaji elimu ya darasa la nne tu.
Wajanja wengine wameamua kurudi chuo, hususani kwa ngazi ya Diploma kusoma fani za ualimu au afya ili kuingia kwenye mkondo wa kuja kupata ajira hapo baadaye.
Jamani hali ni mbaya na tete.
Ukweli usemwe!
Kazi ya hizo degree ni ipi ikiwa tulizisoma kwa lengo la kutupatia ajira na kipato lakini zimeshindwa kutupa hizo vitu?Mgesema hakuna ajira lakini siyo kusema degree hazina kazi. N akujiajiri siyo lele mama, hata waliosoma entrepreneur wanashindwa kujiajiri.
Hao watu wenye high placed person wako wachache katika wengi tunaohitimu na degree zetu.Wewe huna mtu highly placed,ukiwa na mtu ajira ni immediate.Pole sana.
Kila kitu linataka hela hata hizo Quran bila Hela kazi bure! Huwez kusoma Quran bila kula!Kumaanisha?
Kujiajiri bila mtaji unatumia nini kufikiri makalio?Mbona wa hizi fani wanaweza kujiajiri? Shida iko kwenye mtazamo
Sawa mkuu!Na kuna watu walianza Kama wagonjwa Sasa Ni wamiliki wa Hospital,wengine kama migambo Sasa Ni maboss wa usalama wa Taifa.
Either way you are doomed.
Pole sana,I pity you so much.Ila kipo kitu ambacho sisi tumeshindwa kufanya:to change our mindset.Degree ilikuwa muhimu before the 1980s wakati ulikuwa unaajiriwa hata kabla ya matokeo na ulikuwa unatafutwa,sio sasa.Siku hizi ajira ni very hard to come by,kwa hiyo from early on tusi force kwenda vyuo vikuu,because it is useless.Tuji-engage in self employment activities mapema,in that case tutajiondolea stress na depression zisizo za lazima.Hao watu wenye high placed person wako wachache katika wengi tunaohitimu na degree zetu.
Hata kama wote tungekuwa na hizo connection bado balance ingekuwa pale pale, wengi (90%) tungekosa ajira na wachache (10%) wangepata ajira.
ELIMU ni nyenzo ELIMU ni NGAO kitu pekee ambacho sijutii ELIMU imenipa confidence ambayo wale ambao hawajasoma wanakua na excuses nakujiona inferior....Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%.
Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu ya vyeti vya chuo kikuu haina mchango wowote wa mhitimu wa level ya degree kuweza kujiajiri moja kwa moja. Hapa chini ni baadhi ya fani zinazoangukia kwenye kundi hilo.
1. Public administration
2. Political science
3. Business administration
4. Procurement and supply
5. Human resource
6. Sociology
7. Environment
8. Language
9. Mass communication
10. Tourism
11. Banking
12. Accounting
13. Economy
14. Finance
15. History
16. Insurance
17. Tax
18. Cooperative
19. Marketing
20.
Kama wewe ni mhitimu wa hizo fani kwa miaka ya karibuni utaelewa hicho nilichokiandika, na kama wewe ni mwanafunzi wa hizo fani anza kujiandaa kisaikolojia, hali ni mbaya mtaani. Wahitimu ni wengi na hawana ajira yoyote, wamechoka vibaya, wameshazunguka na mabahasha mpaka soli za viatu kuchakaa, wamejitolea mpaka basi, wameshikiza mpaka wamedondoka na wengi wamekata tamaa kabisa, vyeti vyao wamesahau hata vipo wapi, havina msaada. Bado wanakula, kulala na kutunzwa na wazazi wao, mashemeji au wajomba. Wengine wameamua kujiajiri katika fani zingine ambazo hazina uhusiano wowote wa fani walizosomea na zenye kuhitaji elimu ya darasa la nne tu.
Wajanja wengine wameamua kurudi chuo, hususani kwa ngazi ya Diploma kusoma fani za ualimu au afya ili kuingia kwenye mkondo wa kuja kupata ajira hapo baadaye.
Jamani hali ni mbaya na tete.
Ukweli usemwe!
Kwan Quran imekukataza kula?Kila kitu linataka hela hata hizo Quran bila Hela kazi bure! Huwez kusoma Quran bila kula!