Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Babu wa hovyo kwani unamuongelea nani? Halafu mimi niko singo, usiniharibie. Mpare gani kwani unamuongelea🤣🤣🤣
Umeanza lini kuwa Singo andi redi tu mingo Mjukuu??

Usinitie viwashawishi Wazee tukapokea Posa nyingine ya yule Kijana wa Dubai aliyetaka kukuoa last February 😜

Hebu sikiliza ule wimbo wa "Huyo ni Chaguo lako" kama upo karibu na DJ mwambie auweke kwenye "Repeat Mode" 🤗
 
Kuna watu mna mahangaiko ndio mana mnapigwa na mavitu mazito.
 
Huu wimbo umekaaga kikudaa🤣🤣
 
Hahaha.................. kwahiyo haujaupenda Mjukuu?

Basi sikiliza verse ya kwanza tu pamoja na kiitikio chake 😜🏃🏃🏃🏃
Babu yule mpare mbahilii balaa, atanitoa roho. Sidhani kama alikuwa chaguo langu🙆‍♀️🙆‍♀️
Hebu kumbukeni vizuri, hamkunilazimishia kweli?
 
Babu yule mpare mbahilii balaa, atanitoa roho. Sidhani kama alikuwa chaguo langu🙆‍♀️🙆‍♀️
Hebu kumbukeni vizuri, hamkunilazimishia kweli?
Hahaha.................kwa huyo Mpare hatukukulazimisha Mjukuu, ulituambia eti yeye ni Mpare wa kwanza kukupa password ya akaunti yake ya Benki

Kwahiyo endelea kuburudika na wimbo wa "Huyo ni Chaguo lako" tu 🤗
 
Wanawake anaetunzwa vizuri hufanya umalaya hata na boda boda hawana akili kabisa haijalishi cheo wala kazi hao wote hutapata mwanamke ataekua na wewe pekee hamnaaa...
 
Hahaha.................kwa huyo Mpare hatukukulazimisha Mjukuu, ulituambia eti yeye ni Mpare wa kwanza kukupa password ya akaunti yake ya Benki

Kwahiyo endelea kuburudika na wimbo wa "Huyo ni Chaguo lako" tu 🤗
Babu badili wimbo tafadhali😭😭😭😭
 
Pole Mjukuu....😅

Basi sikiliza wimbo wa "I love you" ulioimbwa na Kwaya ya Mt. Theresia, maana huo wimbo nakumbuka Siku ya harusi yenu na Mpare uliucheza sana 🤗
Basi babu tuachane na haya mambo ya dedication tu😄
 
Hii ni sawa na kumuoa Asha zungu af useme amefanya kila starehe ameamua kutulia😅😅
 
Ushaambiwa mwanamke bora anatoka kwa mungu sasa wewe jichanganye🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…