Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Ukijenga mtoni kiangazi utapaona panafaaa ila masika jiandae kulala juu ya bati......
Mwaka 1992 nilienda pale jagwani kuulizia bei ya kiwanja, dalali akaniambia kijana kabla ya kununua kafanye mazoezi kwanza ya kulala juu ya bati wew tv yako........
 
😅😅😅
 
List yako bila kuwa na Ma house maid haijakamilika.
Hao ndio funika bovu kichwani nati zimelegea yaan acha kabisa kichwani wanawaza tamthilia tu na maigizo ya Azam TV yaan beki 3 Baba hayupo Mama hayupo kuanzia asubuhi mpaka usiku anabadirisha channels tu katoa huku kaweka huku wengine wanapewa mpaka tablet na laptop muda wote wapo fb na insta tiktok wanasogoa umbea
 
Alikuambia Jambo jema mkuu

Lakini Hawa Dada zetu sio wote wapo hivyo wengi hawapendi kuishi vile na wana onekana wazi kabisa wapo tayali kuvumilia Hali zozote huko watakako olewa kuliko kuishi kwenye mazingila ya makazini kwao

Usha wai shuhudia bar maid wanavyo lala?

Ushawai kushuhudia vyakula wanavyo pewa kwa ajili ya Kula na ma boss zao?

Usha wai kushuhudia Mikasa ya kubakwa na ma boss wao?

Mkuu wanapitia maisha magumu Sana nitofauti na unavyo waona wanakuchangamkia ufikapo makazini kwao

ukipata mda wa kukaa nao utajua mengi mzito yalio nyuma ya sura zao nzuri zilizo pambwa kwa make up na lipstick

ndio maana nakuambia ukijaribu kujitoa kuwa beba watu Kama Hawa hukuona wewe maraika kwake sio mume tu
 
Kwa barmaid sikushauri/sikuungi mkono. Utajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…