Kes
Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM).
Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea Watanzania wote maendeleo.
Nchi imefunguka vizuri, biashara imefunguka, kilimo, ufugaji, uvuvi, usafirishaji na miundombinu vimeboreshwa na vimeimarika sana. Upatikanaji wa huduma muhimu kama vile maji, umeme, na afya ni vya uhakika maeneo mengi nchini.
Serikali madhubuti ya CCM inasema na kutenda.
Mambo yanayoendelea ndani ya vyama vingine vya kisiasa nchini, ni aibu na hali ya kukatisha tamaa kabisa.
Hawana hoja tena za kuikosoa au kushauri serikali, hawaeleweki hata wanacholalamikia, hawaelewani wao kwa wao, hawaaminiani wao kwa wao, n.k.
Cha maana zaidi kwao kwa sasa ni kwamba wanajitambulisha vizuri sana kwa migawanyiko baina yao, malumbano na mipasho isiyo na tija kabisa.
Ama kwa hakika, imani na matumaini ya Watanzania yamebaki kwa CCM na serikali sikivu yake, chini ya kiongozi mahiri sana, kipenzi cha Watanzania comrade, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan.
Sema wewe una matumaini nayo siyo waTanzani.zingekua mbaya sera za CCM, waTanzania wasingekua na matumaini nayo 🐒
ama chama gani kina sera nzuri na ziko wap zaidi ya CCM 🐒