Mimi sijapinga madai yake na hivyo sina sababu ya kumshitaki.Hata wewe uliyenunu kitabu chake unaweza mshitaki vilevile kwa kumuomba aweke ushahidi usio na shaka mahakamani ili kitabu chake kipate uhalali wake.
Kabendera hata angeandika jpm aliwahi kunya kwenye mtungi wa maji bado mngeamini.Akili zenu ni ndogo sana.
"In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist"Kitabu kinaitwaje mkuu
nataka nisome kidogo
Kama unakubaliana nae tuleteeni ushahidi hapa sio lazima hadi tushitaki wakati hata kitabu hicho hajashurutishwa na mtu yeyote yule kukiandika vivyo hivyo alete na ushahidi bila shurti ili tununue kitabu kwa wingiMimi sijapinga madai yake na hivyo sina sababu ya kumshitaki.
Wanaopinga madai yake ndio wenye wajibu wa kumshitaki.
Mshitakini mahakamani jamani, acheni kulialia mitandaoni.
Mimi kwenye mauji siwezi kubali bila ushahidi na hizo hoja zingine bila ushahidi usio na shaka naona ni uzushi tuUnadhani wapenzi wa JPM hawajui hayo mambo?
Tunajua hakuna kiongozi aliye perfect.
So, 70% right, 30% wrong = Great Leader.
Mbali na commercial purposes ya mwandishi na kuwajuza watu kwamba kiongozi yule alikuwa ni WA hivi na hivi.... Kuna manufaa Gani mengine taifa litayapata???Dunia nzima watu wanafanya rejea za uongozi wao uliopita.
Nimetoka kusoma kitabu cha "The Last Tsar: The Abdication of Nicholas II and the Fall of the Romanovs" by Tsuyoshi Hasegawa.
Kitabu kinaelezea maisha ya Tsar Nicholas II wa Russia na jinsi akivyoondoka kwenye ufalme na kuuawa Russia miaka 107 iliyopita, mwaka 1917.
Kitabu kimechapishwa December 2024.
December 2024 baada ya miaka 107 ya kufa kwa Tsar Nicholas II, watu wanaandika vitabu vipya kuhusu historia hii.
Itakuwa huyu Magufuli kafa 2021 hata miaka minne haijafika bado?
Waacheni watu waandike, vibaya ni kuandika uongo, wakiandika uongo washitakini.
Na huyo Samia hujakatazwa kuandika kitabu cha kumchambua, andika, tutanunua.
View attachment 3192134
Mbona kama haina sauti..."In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist"
Hapa kahojiwa na Ghassani.
View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=bwq4bzCMqBoduhSE
Wala sijasema nakubaliana naye.Kama unakubaliana nae tuleteeni ushahidi hapa sio lazima hadi tushitaki wakati hata kitabu hicho hajashurutishwa na mtu yeyote yule kukiandika vivyo hivyo alete na ushahidi bila shurti ili tununue kitabu kwa wingi
Kama kweli kuna mabaya hayo aliyoyafanya Magufuli, taifa linaweza kunufaika kujifunza, kwa mfano, kuwa na vetting process kali watu wenye rekodi mbaya wasiruhusiwe na vyama vyao kugombea uongozi.Mbali na commercial purposes ya mwandishi na kuwajuza watu kwamba kiongozi yule alikuwa ni WA hivi na hivi.... Kuna manufaa Gani mengine taifa litayapata???
Kuhusu kumchambua Samia hakuna mahali nimegusia kwenye comment yangu.
Sina hicho kitabu mkuu.Nikifa MkeWangu Asiolewe kama una soft copy ya hicho kitabu nitumie WhatsApp
Sawa atashitakiwaWala sijasema nakubaliana naye.
Kusema sijampinga maana yake si kusema nakubaliana naye.
But maybe that is too nuanced for you to process.
Mimi nilishapiga kura yangu kwa miguu miaka mingi iliyopita. Sina muda mchafu wa kumshitaki Kabendera.
Mimi sina shida na ushahidi, wewe unayempinga Kabendera ndiye una shida ya ushahidi.
Mshitakini mahakamani Kabendera mpate ushahidi.
Ndio maana Mimi nikiskiaga Hawa haters wa Magufuli wakijustify chuki zao Kwa kusema eti eti ooh alikuwa muuaji, mtekaji mara sijui alikandamiza demokrasia na vijisababu vingine kama hivyo..... Najua hakuna kitu hapa na uongo mtupu.Hao ni wachumia tumbo ambao miaka kabla ya JPM walikuwa wanakula makombo, JPM akakata line ndio ugomvi ulipoanzia. Sasa hivi wanakula makombo na wengine wanakula kuliko wenzao ndio huu ugomvi unaousikia sasa hivi huko upinzani. Ni wachumia tumbo tu hakuna mpinzani hapo.
Kwangu ina sauti. Umesikikiza mpaka dakika ya ngapi bila kusikia sauti?Mbona kama haina sauti...
Toka mwanzo haina sauti, au hadi nifungulie YouTubeKwangu ina sauti. Umesikikiza mpaka dakika ya ngapi bila kusikia sauti?
Ukweli ni kwamba jpm anawatesa sana wala keki ya Taifa kamwe hawatakuja wamsahau ndo kama uonavyo wanavyofukua kabuli lake kwa sasa. Wamesahau kibao kauawa hivi karibuni tu wakina soka hadi sasa hawajurikani walipo. Lakini kama taifa tumepata muda wa kujadiri ya marehemu mwandishi mwenyewe yupo ng'ambo hukoSIJAELEWA NI KWANINI MAREHEMU ANAJADILIWA SASA HIVI? Huu ni mwaka wa uchaguzi je yeye kuna sehemu atahusika?
Kama alitenda mabaya au mazuri sijui kama tuna cha kufanya juu yake zaidi ya kuangalia yaliyopo na yajayo.
Usiindoe nitaiskiliza badae nikiwa freeKwangu ina sauti. Umesikikiza mpaka dakika ya ngapi bila kusikia sauti?
"Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa."Njia ya kujua ukweli zaidi ni kumshitaki Kabendera mahakamani tupate ushahidi ulio chini ya kiapo na potential perjury.
Tusikie mashahidi wanasemaje.
Kabendera kaandika mengi sana, lak8ni mengi zaidi hajaandika kasema.
Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa.
Hizi tuhuma ni kubwa sana, kama.ni za uongo, Kabendera ashitakiwe tu.
Wanaogopa nini kumshitaki?