Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Hata wewe uliyenunu kitabu chake unaweza mshitaki vilevile kwa kumuomba aweke ushahidi usio na shaka mahakamani ili kitabu chake kipate uhalali wake.

Kabendera hata angeandika jpm aliwahi kunya kwenye mtungi wa maji bado mngeamini.Akili zenu ni ndogo sana.
Mimi sijapinga madai yake na hivyo sina sababu ya kumshitaki.

Wanaopinga madai yake ndio wenye wajibu wa kumshitaki.

Mshitakini mahakamani jamani, acheni kulialia mitandaoni.
 
Mimi sijapinga madai yake na hivyo sina sababu ya kumshitaki.

Wanaopinga madai yake ndio wenye wajibu wa kumshitaki.

Mshitakini mahakamani jamani, acheni kulialia mitandaoni.
Kama unakubaliana nae tuleteeni ushahidi hapa sio lazima hadi tushitaki wakati hata kitabu hicho hajashurutishwa na mtu yeyote yule kukiandika vivyo hivyo alete na ushahidi bila shurti ili tununue kitabu kwa wingi
 
Dunia nzima watu wanafanya rejea za uongozi wao uliopita.

Nimetoka kusoma kitabu cha "The Last Tsar: The Abdication of Nicholas II and the Fall of the Romanovs" by Tsuyoshi Hasegawa.

Kitabu kinaelezea maisha ya Tsar Nicholas II wa Russia na jinsi akivyoondoka kwenye ufalme na kuuawa Russia miaka 107 iliyopita, mwaka 1917.

Kitabu kimechapishwa December 2024.

December 2024 baada ya miaka 107 ya kufa kwa Tsar Nicholas II, watu wanaandika vitabu vipya kuhusu historia hii.

Itakuwa huyu Magufuli kafa 2021 hata miaka minne haijafika bado?

Waacheni watu waandike, vibaya ni kuandika uongo, wakiandika uongo washitakini.

Na huyo Samia hujakatazwa kuandika kitabu cha kumchambua, andika, tutanunua.

View attachment 3192134
Mbali na commercial purposes ya mwandishi na kuwajuza watu kwamba kiongozi yule alikuwa ni WA hivi na hivi.... Kuna manufaa Gani mengine taifa litayapata???

Kuhusu kumchambua Samia hakuna mahali nimegusia kwenye comment yangu.
 
Kama unakubaliana nae tuleteeni ushahidi hapa sio lazima hadi tushitaki wakati hata kitabu hicho hajashurutishwa na mtu yeyote yule kukiandika vivyo hivyo alete na ushahidi bila shurti ili tununue kitabu kwa wingi
Wala sijasema nakubaliana naye.

Kusema sijampinga maana yake si kusema nakubaliana naye.

But maybe that is too nuanced for you to process.

Mimi nilishapiga kura yangu kwa miguu miaka mingi iliyopita. Sina muda mchafu wa kumshitaki Kabendera.

Mimi sina shida na ushahidi, wewe unayempinga Kabendera ndiye una shida ya ushahidi.

Mshitakini mahakamani Kabendera mpate ushahidi.
 
Mbali na commercial purposes ya mwandishi na kuwajuza watu kwamba kiongozi yule alikuwa ni WA hivi na hivi.... Kuna manufaa Gani mengine taifa litayapata???

Kuhusu kumchambua Samia hakuna mahali nimegusia kwenye comment yangu.
Kama kweli kuna mabaya hayo aliyoyafanya Magufuli, taifa linaweza kunufaika kujifunza, kwa mfano, kuwa na vetting process kali watu wenye rekodi mbaya wasiruhusiwe na vyama vyao kugombea uongozi.

Kuhusu kumuandia Samia, inaonekana wewe mwenyewe hujaelewa maana ya maneno uliyoyaandika.

Umeandika hivi.

"Wapinzani ni kama vile Bado wanaumizwa sana na marehemu kuliko hata mambo yanayoendelea kwenye awamu hii,"

Kama unaona mambo yanayoendelea kwenye awamu hii yana umuhimu zaidi ya kumuandika marehemu, hujakatazwa na wewe kuyaandika, yaandike tu, tutanunua kitabu.

Kwa nini unalazimisha wengine waandike unavyotaka wewe wakati na wewe una uwezo wa kuandika unavyotaka wewe?

This is a false dichotomy fallacy, kwamba ukiandika mabaya ya Magufuli basi hujachukizwa na mabaya ya Samia.

Watanzania wengi wanafanya ujinga huu wa lazima uwe team Magufuli au team Samia, bila kujali kwamba kuna watu wengi wanaona wote wawili ni majanga, tofauti yule alifanya majanga huku akitukana, huyu anafanya majanga huku anarembua macho.

Kabendera kasema kaandika vitabu viwili, kingine kitatoka. Unajuaje hicho cha pili si cha Samia?
 
Wala sijasema nakubaliana naye.

Kusema sijampinga maana yake si kusema nakubaliana naye.

But maybe that is too nuanced for you to process.

Mimi nilishapiga kura yangu kwa miguu miaka mingi iliyopita. Sina muda mchafu wa kumshitaki Kabendera.

Mimi sina shida na ushahidi, wewe unayempinga Kabendera ndiye una shida ya ushahidi.

Mshitakini mahakamani Kabendera mpate ushahidi.
Sawa atashitakiwa
 
Hao ni wachumia tumbo ambao miaka kabla ya JPM walikuwa wanakula makombo, JPM akakata line ndio ugomvi ulipoanzia. Sasa hivi wanakula makombo na wengine wanakula kuliko wenzao ndio huu ugomvi unaousikia sasa hivi huko upinzani. Ni wachumia tumbo tu hakuna mpinzani hapo.
Ndio maana Mimi nikiskiaga Hawa haters wa Magufuli wakijustify chuki zao Kwa kusema eti eti ooh alikuwa muuaji, mtekaji mara sijui alikandamiza demokrasia na vijisababu vingine kama hivyo..... Najua hakuna kitu hapa na uongo mtupu.

Wengi wanaomchukia Magufuli ni Kwa sababu zao zingine kabisa ambazo ni binafsi na wala sio Kwa udikteta wake au uminywaji wa haki za kisiasa... Wanamchukia sababu ya kuharibiwa maslahi yao baasi, SEMA hawawezi kuweka wazi badala yake watapindisha na kutaja hizo sababu zilizozoeleka basi.

Angalia Sasa hivi watu wanatekwa, watu wanapotea, ufisadi umekithiri, Katiba mpya Bado ni kitendawili lakini nguvu kubwa Bado imeelekezwa Kwa Magufuli, Tena watawala na wapinzani ni kama wameungana kumshambulia marehemu na kuziacha ajenda muhimu.

Ndio tujue kwamba nchi hii hakuna wapenda haki Wala wachukia ufisadi... Bali Kuna wapenda maslahi tu basi tu
 
SIJAELEWA NI KWANINI MAREHEMU ANAJADILIWA SASA HIVI? Huu ni mwaka wa uchaguzi je yeye kuna sehemu atahusika?
Kama alitenda mabaya au mazuri sijui kama tuna cha kufanya juu yake zaidi ya kuangalia yaliyopo na yajayo.
Ukweli ni kwamba jpm anawatesa sana wala keki ya Taifa kamwe hawatakuja wamsahau ndo kama uonavyo wanavyofukua kabuli lake kwa sasa. Wamesahau kibao kauawa hivi karibuni tu wakina soka hadi sasa hawajurikani walipo. Lakini kama taifa tumepata muda wa kujadiri ya marehemu mwandishi mwenyewe yupo ng'ambo huko
 
Njia ya kujua ukweli zaidi ni kumshitaki Kabendera mahakamani tupate ushahidi ulio chini ya kiapo na potential perjury.

Tusikie mashahidi wanasemaje.

Kabendera kaandika mengi sana, lak8ni mengi zaidi hajaandika kasema.

Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa.

Hizi tuhuma ni kubwa sana, kama.ni za uongo, Kabendera ashitakiwe tu.

Wanaogopa nini kumshitaki?
"Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa."

Kabendera kaandika haya kwenye hicho kitabu????
 
JPM marehemu akiingia kwenye uchaguzi bila chama na akashindana na wenye vyama anashinda asubuhi tu.

JPM ni mshindi tayari japo amekufa, waliobaki kupambana naye hawana jipya zaidi ya uongouongo na uzushi tu.

Aliyoyafanya JPM yameshampa ushindi na njia rahisi ya kumfunika ni kufanya zaidi yake.
 
Back
Top Bottom