Kwa sasa kuoa mabinti waliofika University ni hatari kubwa, wengi hawana bikra zote.

Aramun

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
461
Reaction score
2,213
Hivi ndivyo university students wengi wa kike wanavyoishi maisha yao siku hizi, wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali za kiuchumi za makwao.

Na wengi wanaingia kwenye maisha ya namna hii kwa kupenda mserereko wa maisha mazuri bila kupitia clean process.
Your browser is not able to display this video.
 
Ishu sio bikra zao, ishu ni tabia zao ndani ya ndoa. Unataka bikira kwenye kizazi hiki kisicho na maadili ya ndoa? Mabinti wanabikiriwa mapema tu hata kabla ya kufikia utu uzima
 
cha msingi tabia ila tukiweka vigezo vya bikra ni ngumu sana kupata sababu haya mambo yapo kibaiologia zaidi ,kuvumilia mihemuko ya mwili jumlisha vishawishi kutoka kwa waalimu ,wanafunzi wa kiume, waalimu,malecture,boda boda,makondakta, bado mtaani kuna majamaa udenda unawatoka kwa binti na bado kanisani au misikitini kuna mijamaa yana mtaka binti huyo huyo ndio maana serikali inaweka shiria kali kuwalinda mabinti zadi ya watu wenye nia mbaya nayo .
 
Mi nilijua unaongelea hawana maadili ya kindoa, maana kama ni swala la bikra hizo huwa wanatoana tangu primary huko.
 
Unamaana gani unaposema bikra zote?
 
Mabikira ndio wanazingua sana kwenye ndoa akifika miaka 30 anazibuka anataka kujaribu mishedede ya aina mbalimbali πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wanawake wengi vya chuo vinflnnn sana
Huko primary tu vitoto vimekata kamba sembuse chuo

Ova
 
Sio kila mwanamke asie na bikra ni malaya , Ila malaya wote hawana bikra !!!
 
Ladies and gentlemen mpaka leo 2025 mnajadili kuhusu bikra seriously....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…