Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Anakuwa amevunja amri ya ngapi?... Unakuta binti kavaa skirt limembana makalio mpaka chupi inaonekana kabisa.
Kwamba wanunuzi wapo kanisani??"....au mabinti wanaenda kanisani kujiuza??"👿
Upande wa mavazi, hali ni mbaya huko makanisani!Sijui kanisani ni mahala pa kutongozana!!!
Unakuta binti kavaa skirt limembana makalio mpaka chupi inaonekana kabisa.
Au Mabinti wanaenda kujiuza kanisani?
Kwenye hili kwa kweli ndugu zetu waislamu wametuzidi sana. Naturally wanaume tumeimbiwa tamaa, sio mchungaji sio sheikh wala sio mzee wa kijiji, ukipita mzigo hapo mbele kama urijali upo lazima upige popo mbili. Dressing code ya kanisani kwa wanawake ni nguo za heshima tena ndefu kabisa imekua hivi toka enzi za mababu. Hawa manabii wa kisasa ndo wanaharibu baadhi code kama hizi.Sijui kanisani ni mahala pa kutongozana!!!
Unakuta binti kavaa skirt limembana makalio mpaka chupi inaonekana kabisa.
Au Mabinti wanaenda kujiuza kanisani?
Muulize huyo aliyesema wanavaa sketi zinazoonesha pichu!! 👿 kama sio mteja aliionaje hiyo pichu??Kwamba wanunuzi wapo kanisani??
Afuate kilichompelekaWewe chupi ya Binti inakuhusu nini ukiwa kanisani?
Au mabinti wasivae chupi?
Kwanini uchunguze chupi za waumini wakati zipo ndani?
Oya wanatamanisha kanisani.Wewe chupi ya Binti inakuhusu nini ukiwa kanisani?
Au mabinti wasivae chupi?
Kwanini uchunguze chupi za waumini wakati zipo ndani?
Amri ya usizini.Anakuwa amevunja amri ya ngapi?
Na wale wamama watu wazima wanaovaa suruali mbano hujawaona?Unakuta binti kavaa skirt limembana makalio mpaka chupi inaonekana kabisa.
Wakienda kutoka sadaka utafanyaje mkuu.Dawa ni kutangulia mapema kabla hawajafika na ukae mbele usigeuke nyuma.Au shinda siku nzima umefumba macho.
Kabisa man unakuta chupi limejichora halafu demu ana big NYASH. Yani mda mwingine unatamani kupiga nyeto kanisani😅🙏Kwenye hili kwa kweli ndugu zetu waislamu wametuzidi sana. Naturally wanaume tumeimbiwa tamaa, sio mchungaji sio sheikh wala sio mzee wa kijiji, ukipita mzigo hapo mbele kama urijali upo lazima upige popo mbili. Dressing code ya kanisani kwa wanawake ni nguo za heshima tena ndefu kabisa imekua hivi toka enzi za mababu. Hawa manabii wa kisasa ndo wanaharibu baadhi code kama hizi.