Kwa sasa Makanisa hayana tofauti na Kumbi za starehe

Kwa sasa Makanisa hayana tofauti na Kumbi za starehe

Yaani uandishi wako ni kama vile, wanaume wanaosali huko makanisani ni malaika
Hebu vaa sura ya Ubinadamu, uandike tena!
Achana na mjaa LAANA huyo anasema hata watoto wake wa kike walishavaa hivyo na ameshalala nao
 
Sindikiza uzi na kapicha flani hivi🙂‍↔️
 
Wacha kujenerorizi mkuu yataje hayo makanisa! Ulishayaona hayo Kanisa Katoliki?
 
Makanisa ni kumbi za starehe.
Mungu( kwa imani ya pale Kanisani) anapaswa kuabudiwa with song.
Sometimes, with song and dance.
Kwa mfano,Waislamu wangeimba kawaida katika ibada zao, Wakristu wangeiita hiyo ni ibada ya kweli.
Halafu, please notepolitical rallies are conducted with song and dance. Je,hiyo pia ni ibada? Indeed,it is.
 
Back
Top Bottom