Kwa sasa Makanisa hayana tofauti na Kumbi za starehe

Kwa sasa Makanisa hayana tofauti na Kumbi za starehe

Msiniseme na kunihukumu kwa utashi wa nafsi zenu kwa yafuatayo.

Nomegundua kuwa kuna watu wamekuwa wagumu kukubaliana na ukweli wenye kujenga kwa sababu tu limetumika neno kanisa.

Kwa unafiki huu, it will take so long kuwa na maendeleo.
 
Kuna mchungaji mmoja wa kanisa amewakemea sana hao na kuwatukana sana

Anasema wanakuja kanisani nusu uchi na nguo fupi sana halafu wakiona wanaangaliwa wanafunika na biblia 😄
Ni Askofu Mstaafu Kenan Mwasomola wa Kanisa la SDA.
 

Attachments

  • VID-20250404-WA0010.mp4
    1.1 MB
Geodavie anakwambia tulizaliwa tukiwa uchi,hvyo inshu ya mavazi siyo ya kuzingatia sana,vaa vyovyote

Na ni kweli pale kisongo siku ya jumapili ni balaa watoto wametokelezea sio kawaida

Watoto wake tu wanatupia nguo mpaka wamama wanaosali hapo wanaogopa
Nitawatafuta hao mabinti zake niwapige miti. Hiyo ndo dawa ya wajinga wajinga kama hao.
 
Hilo liko wazi mleta mada...hakuna makanisa kwa Sasa ...Kuna mapango ya kufanyia kila aina ya ufuska ila yamejificha kwa kuvaa ngozi ya kondoo
Kabisa Ndugu yani watoto wa kike wengi wanaenda kanisani kutangaza biashara.
 
Napenda sana mabinti wavae nguo za kubana nione kyupi
Hata wewe Binti uwe unanivalia nguo za kubana tukiwa faragha
Hahahahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 Sisi kanisani ni mwendo wa nyeto tuu kudadadeki.
 
Kama utaendelea kuhukumu watu hautokuja kuona mazuri yao , kumbuka kila binadamu ana dhambi na ni mtenda makosa.

Ujinga ni kushindwa kuwaambia then unaleta huku ,ni sana umeingia dhambi ya kusengenya.
Mi napenda wakivaa ili nipige nyeto vizuri.
 
Sijui kanisani ni mahala pa kutongozana!!!

Unakuta binti kavaa skirt limembana makalio mpaka chupi inaonekana kabisa.

Au Mabinti wanaenda kujiuza kanisani?
Usitutie katika kishawishi lakini utuopoe maovuni. Mwisho wa kinukuu, sasa ukiingia kanisani fata lililokupeleka na mawazo yaweke kwenye nia yako yakuingia kanisani. Maana hayo hayanabudi kuwepo.
 
Yani apite demu amevaa nguo imembana na ana msambwanda usimwangalie?
Kusema ukweli hili haliwezekani,labda wengine tuna imani haba. Lakini akipita demu chupi imejichora siwezi vumilia kupiga chabo.
Hata nikivumilia itakuwa naudanganya mwili lakini akili itakuwa huko kwa muda. Maamuzi ya kumcheki baadaye ni suala jingine ila atakuwa ameingilia mawazo/ imani yangu kwa muda
 
Ndo maana idadi ya Viongozi wa dini wanaokula kondoo wao walionona imeongezeka. Wadada wavaa nusu uchi,warembo,tena wana misambwanda ni jaribu kubwa sana kwa Mapadre,Makatekista, Wazee wa Kanisa, Wachungaji, Wainjilisti na Maaskofu.
 
Napenda sana mabinti wavae nguo za kubana nione kyupi
Hata wewe Binti uwe unanivalia nguo za kubana tukiwa faragha
Duh kwaio kwa Kauli hii umeidhibitishia umma kua hivi Sasa umeshamtomba au kuwatomba binti zako uliyowazaaa? Dada zako mliozaliwa tumbo Moja? Mama yako aliekuzaa? Sababu wanavaa nguo za kubana? Mja LAANA wewe ..afidhaalaanakum...
 
Back
Top Bottom