Watuambie tu wanauza shngapi😂😂😂Bandugu, dini ni biashara!
Mbona mnabisha?!
Kuhiji aidha Saudia, Vatican, Israel etc etc
Kote wapeleka biashara!
Sasa mabinti kuonyesha maumbo yao imekuwa nongwa?!
Picha nitaweka kesho.Basi hata kapicha tafadhali kuweka msisitizo wa mjadala.
Wanavaa hivo ila ukiwaomba namba wanaleta barrier mda mwingine.Wakienda kutoka sadaka utafanyaje mkuu.
Ukweli familia zetu zimeshindwa kulea na kusimamia maadili. Binti zetu wamekuwa vituko huko nje
Wanunuzi tupo ready popote.Muulize huyo aliyesema wanavaa sketi zinazoonesha pichu!! 👿 kama sio mteja aliionaje hiyo pichu??
Sema wanawake wanatafuta wateja popote mpaka kanisani duuh😨.Geodavie anakwambia tulizaliwa tukiwa uchi,hvyo inshu ya mavazi siyo ya kuzingatia sana,vaa vyovyote
Na ni kweli pale kisongo siku ya jumapili ni balaa watoto wametokelezea sio kawaida
Watoto wake tu wanatupia nguo mpaka wamama wanaosali hapo wanaogopa
Kumbe kanisani hawaendi kumwabudu Mungu wao Bali wanaenda kujionesha??Ukiwa na nguo nzuri kali za gharama sehemu pekee za kuonesha ni hizi,
_Clubs,bar ,kumbi za starehe
_Kanisani,makongamano ,hafla ,misibani.
Hata simu nzuri ,magari na mitindo ya mavazi utaoneshea wapi tofauti na sehemu hizo.
Yani apite demu amevaa nguo imembana na ana msambwanda usimwangalie?Kwanini muwaamgalie? Huna Cha kufikiria Hauna majukumu wewe,?
NAhisi wengi wanaenda kanisani kutafuta wateja na kuonesha nguo mpya walizonunua.Upande wa mavazi, hali ni mbaya huko makanisani!
Huenda ni kweli wanaenda kutafuta wateja na kuonesha mavazi mapya."....au mabinti wanaenda kanisani kujiuza??"👿
Ndiyo wengi wao wako hivyoKumbe kanisani hawaendi kumwabudu Mungu wao Bali wanaenda kujionesha??
Akili yako ya kufikiri ndogo sana. Tuhitimishe kua utakua mmojawapo wa wanaopenda vibinti wavaa nguo za kubana zilizokosa staha zinaoonesha maungo ya ndani ..mvalishe na mwanao wa kike hivyo ili umtamaniWewe chupi ya Binti inakuhusu nini ukiwa kanisani?
Au mabinti wasivae chupi?
Kwanini uchunguze chupi za waumini wakati zipo ndani?
Napenda sana mabinti wavae nguo za kubana nione kyupiAkili yako ya kufikiri ndogo sana. Tuhitimishe kua utakua mmojawapo wa wanaopenda vibinti wavaa nguo za kubana zilizokosa staha zinaoonesha maungo ya ndani ..mvalishe na mwanao wa kike hivyo ili umtamani
Wewe chupi ya Binti inakuhusu nini ukiwa kanisani?
Au mabinti wasivae chupi?
Kwanini uchunguze chupi za waumini wakati zipo ndani?
Yaani akivaa sketi inayobana ndio anakuwa amezini?Amri ya usizini.