Kwa sasa Makanisa hayana tofauti na Kumbi za starehe

Yaani uandishi wako ni kama vile, wanaume wanaosali huko makanisani ni malaika
Hebu vaa sura ya Ubinadamu, uandike tena!
Achana na mjaa LAANA huyo anasema hata watoto wake wa kike walishavaa hivyo na ameshalala nao
 
Sindikiza uzi na kapicha flani hiviπŸ™‚β€β†”οΈ
 
Wacha kujenerorizi mkuu yataje hayo makanisa! Ulishayaona hayo Kanisa Katoliki?
 
Makanisa ni kumbi za starehe.
Mungu( kwa imani ya pale Kanisani) anapaswa kuabudiwa with song.
Sometimes, with song and dance.
Kwa mfano,Waislamu wangeimba kawaida katika ibada zao, Wakristu wangeiita hiyo ni ibada ya kweli.
Halafu, please notepolitical rallies are conducted with song and dance. Je,hiyo pia ni ibada? Indeed,it is.
 
Yani apite demu amevaa nguo imembana na ana msambwanda usimwangalie?
Watu hawako serious kabisa yaani wanataka mtoa mada akienda kanisani awe na pazia ya kuziba macho ili asione yanayoendelea itawezekana vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…