Hapa unamaanisha nini? Watu wa vijijini, kwa hiyo mimi wa mjini hata kama matumizi yangu ni pungufu ya unit 75 hiyo huduma sipati?Tarif D1 ni na watu wa vijijini, matumizi ya nyumbani na wasiozidi wastanu wa matumizi ya unit 75 kwa miezi mitatu mfulizo
Sawa, lakini kwa utaratibu mzuri sio kukurupushana km vile wezi.Elimu bure, flyovers, mishahara, barabara za lami, ndege, SGR, Bwawa la Nyerere, madawa, madaraja, mwendokasi, njia nane e.t.c. vinahitaji kulipiwa na sisi wenyewe.
KULIPA KODI NI WAJIBU WA KILA MWANANCHI.
Hapa ndipo mnatengeneza nafasi ya rushwa. Amesema anatumia chini ya unit 75 kwa mwezi. Masharti gani tena mengine mnataka?Tafadhali fika ofisi za eneo lako kwa taratibu na masharti kama utaonekana unakidhi utawekwa
Asante. Ngoja na mimi nifanye utaratibuPole sana. Mimi jamaa waliniondoa, ila wamenipa miezi mitatu ya matazamio. Ikiwa matumizi yatakuwa chini badi nitajaza fomu upya! Nasubiria!asa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnavyo Jibu kama Mpo Na nia hiyo kweli Yakuangaza hayo maisha ya Mtanzania
kumbe kuyaweka Kiza tu
umemegani Kawingu kidogo Kwaheli
Mi waniambie tu ukweli kuliko kukaa na form yangu ofisini kwaoHaa Haa
Huduma Hiyo Imejaa Ujanjaujanja Ghiriba, Fitna Zilongwa Mbali, Zitendwa Mbali
Asante sana. Ngoja na mimi nilishughulikiePole sana. Mimi jamaa waliniondoa, ila wamenipa miezi mitatu ya matazamio. Ikiwa matumizi yatakuwa chini basi nitajaza fomu upya! Nasubiria!
Watanzania tumekuwa soft sana, hawa jamaa wa Tanesco ni wezi wakubwa, inawezekanaje kwa mfano mini niko hapa eneo kata moja na mtu ambaye yeye analipia umeme chini zaidi kuliko mimi ? yaani huwa naniona mimi kama lofa fulani, mimi nikununua umeme wa shilingi elfu 10 nautumia wiki 2, yeye akinunua umeme wa shs 5000 anautumia mwezi mmoja na nusu, na ni juzi tu nimenunua umeme wa shs 10000 nikapata units 25 sio 28 kama ilivyokuwa siku za nyuma, maana yake ni kwamba wameongeza charges/unit bila hata kutoa taarifa, tungeunganisha nguvu zetu tukawagomea hawa tanesco wabaki na umeme wao, bila kutumia mishumaa,Mimu tangu 2016 nauziwa unit kwa bei zaid ya 200 wakat matumiz yangu ni chin ya unit 30 kwa mwezi mf nikinunua umeme wa shiling 1000 napata unit 2.8 wakat huo jiran kwa hiyohiyo 1000 anapata zaid ya unit 7 inakuaje hapo???
Tafadhali onesha namba ya mita kwa ufafanuzi na elimu zaidiWatanzania tumekuwa soft sana, hawa jamaa wa tanesco ni wezi wakubwa, inawezekanaje kwa mfano mini niko hapa eneo kata moja na mtu ambaye yeye analipia umeme chini zaidi kuliko mimi ? yaani huwa naniona mimi kama lofa fulani, mimi nikununua umeme wa shilingi elfu 10 nautumia wiki 2, yeye akinunua umeme wa shs 5000 anautumia mwezi mmoja na nusu, na ni juzi tu nimenunua umeme wa shs 10000 nikapata units 25 sio 28 kama ilivyokuwa siku za nyuma, maana yake ni kwamba wameongeza charges/unit bila hata kutoa taarifa, tungeunganisha nguvu zetu tukawagomea hawa tanesco wabaki na umeme wao, bila kutumia mishumaa,
Hata mm hilo tatizo linanikuta namba zangu za meter ni 24212397632 jirani yangu kwa shiling 1000 anapata unit zaid ya 5+ lakin mm kwa hiyohiyo 1000 napat unit 2.8 na nlipoenda tanesco waliniambia nirud sku nyingne na wanaleta indication za rushwa tu nikajiulza hiv hawawez kutatua hili tatzo nikiwa nyumbani?? mm naishi mbali na tanesco gharma za usafiri kwenda na kurud zaid ni sh 15000..Tafadhali onesha namba ya mita kwa ufafanuzi na elimu zaidi
Wewe huna msaada wowote unatupotezea muda tu hapa.Tafadhali onesha namba ya mita kwa ufafanuzi na elimu zaidi
Bado Kodi ya Ardhi !! Kitaeleweka safari hii lzm tulipe Kodi ya Kila kitu .Hakuna cha bure mkuu.
Kwa mfano mwezi uliokwisha tulinunua umeme badala ya kupewa unit sahihi tukakuta zimepungua mno , kutafakari na kupiga hesabu tukakuta tumekatwa 6000 Yani kumbe Tanesco mmekata Kodi ya nyumba miezi 6 , wakati hatuna deni tumekuwa tukikatwa Kila mwezi mwaka Jana Toka mwezi wa 7 mpk Dec. Je kwanini mumkate mteja miezi 6 kisa amenunua umeme wake wa mwezi ? Mngekata 1000 yenu tu ya Jan.Kama yapi tafadhali? Weka maelezo kamili tukupatie ufafanuzi tafadhali.
Naleta lalamiko kwenu Tanesco, Niko Kilimanjaro , walikuja watu wa Tanesco mwaka Jana kutaka kukagua mita na kuandikisha mita Kwa ajili ya kukata Kodi ya majengo, wakashindwa kupanda mpk nikawatolea stuli 2 Ili waweze kuifikia mita yangu.Nikawambia nimeshawaambia Tanesco Mita iteremshwe chini lkn imekuwa ni hadithi, wakasema sisi tutashughulikia wiki ijayo tu, wakanipa na no yake ya simu, kumbe wametoa no ya uongo, mpk Leo sijaona Tanesco wakija kushughulikia kuishusha hiyo mita Tena, Je hii ni haki Kwa wateja wenu???Kwa wateja wote wa maeneo ya mijini wanapaswa kuwa Tarifa 1 ambayo ni matumizi ya nyumbani hadi unit 7500 kwa mwezi, wateja wa maeneo ya vijijini wanapaswa kuwa tarif 1 au tarif D1 kutokana na wastani wa matumizi yao wao wanaozidi wastani wa manunuzi ya unit 75 kwa miezi mitatu mfululizo wanakuwa T1 na wale ambao hawazidi na wapo vijijini wanakuwa D1.
Ndugu mpendwa Mteja wetuNaleta lalamiko kwenu Tanesco, Niko Kilimanjaro , walikuja watu wa Tanesco mwaka Jana kutaka kukagua mita na kuandikisha mita Kwa ajili ya kukata Kodi ya majengo, wakashindwa kupanda mpk nikawatolea stuli 2 Ili waweze kuifikia mita yangu.Nikawambia nimeshawaambia Tanesco Mita iteremshwe chini lkn imekuwa ni hadithi, wakasema sisi tutashughulikia wiki ijayo tu, wakanipa na no yake ya simu, kumbe wametoa no ya uongo, mpk Leo sijaona Tanesco wakija kushughulikia kuishusha hiyo mita Tena, Je hii ni haki Kwa wateja wenu???
01313926840Tafadhali onesha namba ya mita kwa ufafanuzi na elimu zaidi
Mimi kila nikijaribu kununua umeme naambiwa mita namba haitambuliki naombeni msaada tanescoNdugu wapendwa wateja wetu!
Wateja wetu wote wanawekwa kwenye makundi ya matumizi yanayoendana na matumizi yao kwa kuzingatia wastani wa matumizi na eneo alilopo.
Ifahamike kuwa hakuna mteja wa matumizi ya nyumbani anayeweza kuwekwa kwenye kundi la matumizi ya viwanda.