Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

Nachotaka kujua kwani ni mliamua kuutoa ule umeme WA 27000/- akati mliamuliwa bei ishuke??.......MTU yuko mjini na haitaji nguzo kwake karibu kabisa na nguzo eti 327000/- iko kiwaya mlicho muwekea akizidi Mita Kumi na tano na pesa yote mnachukua .....lakini bado shirika linajiendesha Kwa hasara na mnashindwa kuutoa mpaka mrabaha kwani tanesco Nani kawaroga???😬😬😬😬🤬🤬🤬😡😡😡😡😡
 
Hawawezi kukupa hizo fomu,
Nilienda nikaambiwa kwa sasa hatutoi,mpaka tutakaporuhusiwa
Basi wana mambo yao. Ninachojua huwa wanatoa form lakini mpaka wakurekebishie wanachukua hata mwezi au miezi miwili, lakini ukiwapa elfu 20 au 15 yaani rushwa wanarekebisha haziishi hata siku mbili.
 
Endelea kufurahia maisha na Umeme

Tunayaangaza Maisha Yako
Mnafanya kazi nzuri humu kutoa huduma
Sema Acha tuusubirie mgawo wa umeme
Vp unaanza lini rasmi lakini

Ova
 
mimi tanesco wananiudhi wale ma sarveiy utafikiri mungu mtu yupo boss wao mmoja ilala makao makuu pale samora ukiomba mita mbili anakukatalia akupa moja tu anakuambia nyingine utasubiri sijui usubiri mpaka yesu arudi tena
 
Tafadhali tujulishe changamoto ni nini? Namba ya simu uliyoandika kwente maombi yako kwa hatua zaidi
 
Endelea kufurahia maisha na Umeme

Tunayaangaza Maisha Yako
Mnavyo Jibu kama Mpo Na nia hiyo kweli Yakuangaza hayo maisha ya Mtanzania
kumbe kuyaweka Kiza tu
umemegani Kawingu kidogo Kwaheli
 
Mnavyo Jibu kama Mpo Na nia hiyo kweli Yakuangaza hayo maisha ya Mtanzania
kumbe kuyaweka Kiza tu
umemegani Kawingu kidogo Kwaheli
Je unazungumzia eneo gani? Wilaya na namba ya simu tafadhali

Tupo kukuhudumia
 
NIMESHTUKA KWELI HIVI KUMBE KULIKUWA NA WATANZANIA WANAPENDELEWA NAMNA HII?, YAANI 1000/- WANAPATA UNITS 8.4 NI WAPI HUKO WAKUU?
 
NIMESHTUKA KWELI HIVI KUMBE KULIKUWA NA WATANZANIA WANAPENDELEWA NAMNA HII?, YAANI 1000/- WANAPATA UNITS 8.4 NI WAPI HUKO WAKUU?
Sio kupendelewa, tunaokba kukuelimisha kuwa kuna tarif mbili za majumbani

Tarif D1 ni na watu wa vijijini, matumizi ya nyumbani na wasiozidi wastanu wa matumizi ya unit 75 kwa miezi mitatu mfulizo

Tarif T1 ni ya nyumbani pia ambayo matjmizi yake yakuwa zaidi ya unit 75 hadi 7500 kwa mwezi, kundi hili linahusisha makazi, mabango, mashina za kusaga nk
 
Kuna Nyumba ya mzazi wangu Ameanza kutumia Umeme Mwaka jana
Mita 24238706220
Mudawote huo tokea kaunganishiwa Umeme hajafikisha 70 Unit yaani anamiezi 6 Unit 60 Tukijaribu kuomba Awekwe kwenye matumizi yachini Wanasema Huduma hiyo Ilisha Ondolewa
 
Back
Top Bottom