Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri hiyo 30k unazungumzia ile ya uchoraji ramaniTANESCO waliniambia hiyo 30000 ni ya contractor nimlipe yeye,ya kwao ni Sh.27,000!Anyway hapa kuna collaboration ya upigaji mkuu iko wazi,tuyaache nilitaka ufafanuzi tu,ila naona napigwa chenga.Mimi najuaje system yenu.Inaelekea walitumia ujinga wangu kuniingiza mkenge sawa.
Nanda kabadili uende Tarif4Mimu tangu 2016 nauziwa unit kwa bei zaid ya 200 wakat matumiz yangu ni chin ya unit 30 kwa mwezi mf nikinunua umeme wa shiling 1000 napata unit 2.8 wakat huo jiran kwa hiyohiyo 1000 anapata zaid ya unit 7 inakuaje hapo???
Nia ya bei ya matumizi ya unit 75 ilikuwa kuwasaidia wenye kipato kidogo, japo sasa imeingiliwa. Wenye uwezo mradi matumizi yake si makubwa, eg nyumba za mapumziko za michepuko, maduka ya nguo etc nao wamo.Hii wiki imekua Ni vilio kwa watu kila mahali,
Wengi wameondolewa tarrif zero, na Hakuna maelezo ya kueleweka.
Tumezoea ukizidisha matumizi ya unit 70 kwa mwezi, automatically system inakuondoa tariff zero (umeme wa 1,000= unit 8.4)
Kwa sasa unaondolewa tu kwa lazima hata Kama ujazidisha.
Mtu Hana tv Wala redio, anatumia balbu 2 tu na simu kaondolewa tarrif zero. Akitaka kununua umeme UNAGOMA afu anaambiwa "unatakiwa upate key change".
Sijajua ndo ukusanyaji mpya wa mapato ya serikali kwa kulazimisha watu wengi watumie tarrif 4 (umeme wa 1000= unit 2.9) au Kuna kitu kingine pembeni kinaendelea TUFAHAMISHWE.
Kwa maana tangu huu mwezi uanze, vijana wa Tanesco wamekua wakipita nyumba Hadi nyumba mara kwa mara, wakidai wanakusanya takwimu za mita za luku.
Nanda kabadili uende Tarif4
Tariff 4 mwisho kununua ni Tzs 9150 pm. Ndio unapata hizo 75unitKwan umeme wa 10k unatakiwa upate unit ngap
Pls tutofautishie lwanza hiyo D1 na T1, Unamaanisha nini? Na hapo kwa wateja waliopo mjini kutumia mpaka unit 7500 kwa mwezi sijaelewa au umemaanisha 75?Kwa wateja wote wa maeneo ya mijini wanapaswa kuwa Tarifa 1 ambayo ni matumizi ya nyumbani hadi unit 7500 kwa mwezi, wateja wa maeneo ya vijijini wanapaswa kuwa tarif 1 au tarif D1 kutokana na wastani wa matumizi yao wao wanaozidi wastani wa manunuzi ya unit 75 kwa miezi mitatu mfululizo wanakuwa T1 na wale ambao hawazidi na wapo vijijini wanakuwa D1.
D1 ni wateja wanaonunua umeme chini ya unit 75 kwa mwezi, wanaozidi hapo hadi 7500 ni T1 ambao ni matumizi ya nyumbaniPls tutofautishie lwanza hiyo D1 na T1, Unamaanisha nini? Na hapo kwa wateja waliopo mjini kutumia mpaka unit 7500 kwa mwezi sijaelewa au umemaanisha 75?
Nenda TANESCO, ofisi iliyopo jirani nawewe waambie wakurekebishie Mkuu, kuna form utajaza.Mimi sijawahi zidisha units 50 kwa mwezi tangia niunge umeme 2018 lakini hawajaniweka kwenye hiyo tarrif D1
KWANINI Mnakata Umeme kila wakati nyie majamaa?Tafadhali weka namba yako ya mita tukujibu kwa taarifa kamili
Ndugu mpendwa Mteja wetuNahitaji kuunganishiwa umeme, nilifata taratibu zote anzia kujaza form tangia mwaka Jana mwez wa Saba mwaka Jana, juzi nikaenda kumuona mkurugenzi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro, akaniambia Hadi waombe budget ya eneo husika, nataka tu kufahamu umeme unaenda kwa maeneo ama kila anayehitaji umeme anaweza unganishiwa kama hakuna shida yoyote mf. Nguzo? Maana km kulipia nguzo tuko tayari Ila nashangaa kwanini inakuwa ngumu sana kupata umeme? Eneo ni Pumuani, Mkoa wa Kilimanjaro. Naomba sana km mkurugenzi atasoma hapa ama mtampa taarifa, tunahitaji umeme kwasababu anzia mwaka Jana kabla taratibu za kulipia nguzo hazijaja tulikuwa tumejaza form na walikuja wakakagua wakaondoka hadi Leo sijawaona. Pumuani barabara inayoenda Mkonga, tuko zaidi ya watu 15 pamoja na shule inayojengwa, tunaomba umeme jamani.
Je Waliopo mijini lakini wana matumizi chini ya unit 75 kwa miezi mitatu?Tafadhali tambua sio kwa sasa bali muda wote wateja waliopo mijini wenye matumizi ya kuanzia unit 76 hadi 7500 kwa mwezi wanakuwa Tarif 1 na waliopo vijijini wenye matumizi chini ya unit 75 kwa miezi mitatu mfululizo wanakuwa Tarif four na waliozidi hapo hadi 7500 wanakuwa tarif 1. Hii ipo wazi kwenye miongozo yetu
Mteja anapaswa kuandika barua kwa kuwa matumizi hayo yamekusudiwa kwa watu wa kipato cha chini hivyo unapoanesha nia ya kuyahitaji lazima uombe tufanye uhakiki na kujiridhisha kama unakidhi vigezoJe Waliopo mijini lakini wana matumizi chini ya unit 75 kwa miezi mitatu?
TANESCO
Pia kuna mdau ameuliza kuwa kwanini kupelekwa Tarif T1 ipo automatically lakini kurudishwa Tarif D1 ihusishe kuandika barua?
Hili la Tarif 4 linatoka wapi?D1 ni wateja wanaonunua umeme chini ya unit 75 kwa mwezi, wanaozidi hapo hadi 7500 ni T1 ambao ni matumizi ya nyumbani
Sasa kama nipo kijijini kweli na matumizi ya umeme ni madogo hayafiki hata 60 units kwa mwezi kwanini hamumuweki mteja kwenye D1 automatically? Ilihali majirani wote wapo D1?Mteja anapaswa kuandika barua kwa kuwa matumizi hayo yamekusudiwa kwa watu wa kipato cha chini hivyo unapoanesha nia ya kuyahitaji lazima uombe tufanye uhakiki na kujiridhisha kama unakidhi vigezo
I have done the same mistake todayMimi mwezi huu nilinunua umeme mara mbili kwa bahati mbaya. Maana niliponunua ule wa units 75 kwa TZS. 9150 system ya bank ilionesha ime-fail hivyo ikabidi nihamie m-pesa.
Kulipa ile ya m-pesa ikaniletea units kidogo, kumbe system ya bank ilikuwa imekata kimya kimya!
Hivyo nasubiri mwezi ujao nione kama watakuwa wameniondoa kwenye hiyo ya TZS. 9150 kwa units 75.
Hawawezi kukupa hizo fomu,Nenda TANESCO, ofisi iliyopo jirani nawewe waambie wakurekebishie Mkuu, kuna form utajaza.