Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

Tanesco wanakwepa tu kuwaambia ukweli hapa ili kifupi ni kuwa hiyo huduma kwa Sasa ipo vijijini tu kwa Yale maeneo ambayo wana ruzuku.
Mimi nimejaza form tangu mwanzoni mwa mwezi wa nane mwaka Jana na kipindi chote hicho wamekuwa wakinizungusha tu hadi juzi walipoamua kuniambia ukweliView attachment 1863093
Tafadhali tambua sio kwa sasa bali muda wote wateja waliopo mijini wenye matumizi ya kuanzia unit 76 hadi 7500 kwa mwezi wanakuwa Tarif 1 na waliopo vijijini wenye matumizi chini ya unit 75 kwa miezi mitatu mfululizo wanakuwa Tarif four na waliozidi hapo hadi 7500 wanakuwa tarif 1. Hii ipo wazi kwenye miongozo yetu
 
Naomba kuelimishwa juu ya tariffs
1. Why anayetumia sana ndo analipa sana!?
2. Kwanini kuwe na hizo tariffs!? why not flat rate!?
 
Yaani huwezi jibu bila kuweka hayo makitu..!? Au unataka ujuwe nani kayaandika hayo!?
Tutumie taarifa hata PM tukujibu kwa data kamili kwani lengi ni wewe uelewe na sisi tujitidhishe muwa tumekuelewesha
 
Tafadhali tambua sio kwa sasa bali muda wote wateja waliopo mijini wenye matumizi ya kuanzia unit 76 hadi 7500 kwa mwezi wanakuwa Tarif 1 na waliopo vijijini wenye matumizi chini ya unit 75 kwa miezi mitatu mfululizo wanakuwa Tarif four na waliozidi hapo hadi 7500 wanakuwa tarif 1. Hii ipo wazi kwenye miongozo yetu
Na waliopo mijini wenye matumizi chini ya 75 units wapo tarrif gani?
 
Naomba kuelimishwa juu ya tariffs
1. Why anayetumia sana ndo analipa sana!?
2. Kwanini kuwe na hizo tariffs!? why not flat rate!?
Sio kweli kuwa anayetumia sana ndio anayelipa sana watumiaji wa umeme haswa viwanda bei yao ipo chini zaidi na wana matumizi makubwa zaidi lengo ni kuhamasisha uzalishaji, kuboresha hali ya maisha na kuhakikisha mfumuko wa bei unakuwa rafiki.Kuhusu kucharge wote kiasi kimoja ushauri umechukuliwa
 
Tafadhali tambua sio kwa sasa bali muda wote wateja waliopo mijini wenye matumizi ya kuanzia unit 76 hadi 7500 kwa mwezi wanakuwa Tarif 1 na waliopo vijijini wenye matumizi chini ya unit 75 kwa miezi mitatu mfululizo wanakuwa Tarif four na waliozidi hapo hadi 7500 wanakuwa tarif 1. Hii ipo wazi kwenye miongozo yetu
Sasa nina miaka 3 kasoro tangu nimeweka umeme na kwa muda wote huo sijawahi kuvuka unit 75 kwa mwezi na nimejaza form Sasa Ni mwaka mmoja sijapata hiyo huduma. Tatizo liko wapi?
 
Sasa nina miaka 3 kasoro tangu nimeweka umeme na kwa muda wote huo sijawahi kuvuka unit 75 kwa mwezi na nimejaza form Sasa Ni mwaka mmoja sijapata hiyo huduma. Tatizo liko wapi?
Tunaomba namba yako ya mita tuangalie
 
Kwa wateja wote wa maeneo ya mijini wanapaswa kuwa Tarifa 1 ambayo ni matumizi ya nyumbani hadi unit 7500 kwa mwezi, wateja wa maeneo ya vijijini wanapaswa kuwa tarif 1 au tarif D1 kutokana na wastani wa matumizi yao wao wanaozidi wastani wa manunuzi ya unit 75 kwa miezi mitatu mfululizo wanakuwa T1 na wale ambao hawazidi na wapo vijijini wanakuwa D1.
Mkuu mimi shida yangu ni tofauti kidogo.Nyumba yangu inatumia mita moja na ya mpangaji.Takriban miaka mitatu iliyopita niliomba nyumba ya mpangaji iwekewe mita.Nikaambiwa nifuate taratibu zote za kuwekewa umeme nikafanya hivyo.Nikalipa Sh.30,000 za contractor ingawa nyumba tayari ilikuwa na umeme.Mpaka leo mita sijaiona,na nikifuatilia naambiwa nianze process upya,huku hela yangu ikiwa imezama.Hii ni sawa kweli na nifanyeje?
 
Mkuu mimi shida yangu ni tofauti kidogo.Nyumba yangu inatumia mita moja na ya mpangaji.Takriban miaka mitatu iliyopita niliomba nyumba ya mpangaji iwekewe mita.Nikaambiwa nifuate taratibu zote za kuwekewa umemenikafanya hivyo.Nikalipapaka Sh.30,000 za contractor ingawa nyumba tayari ilikuwa na umeme.Mpaka leo mita sijaiona,na nifuatilia naambiwa nianze process upya,huku hela yangu ikiwa imezama.Hii ni sawa kweli na nifanyeje?
Je ulilipa kwa control numbee kupitia bank? Ulilipa kwa jina lipi namba ya simu uliyoandika na wilaya tafadhali
 
Je ulilipa kwa control numbee kupitia bank? Ulilipa kwa jina lipi namba ya simu uliyoandika na wilaya tafadhali
Ndio mkuu.Nakumbuka pia nilipewa slip ya kupeleka Sub-Office ya TANESCO ambayo ingefanya hiyo kazi.Niliambiwa nisubiri nipate message ili nikamalizie malipo ya Sh.27,000.Mpaka leo sijapata hiyo message.

Hata hivyo bado nashangaa kwa nini niliambiwa nilipe hela ya contractor wakati nyumba ilikuwa kuweka mita tu umeme ulikuwepo tayari.
 
Ndio mkuu.Nakumbuka nilipewa slip ya kupeleka Sub-Office ya TANESCO ambayo ingefanya hiyo kazi.Niliambiwa nisubiri nipate message ili nikamalizie malipo ya Sh.27,000.Mpaka leo sijapata message.

Hata hivyo bado nashangaa kwa nini niliambiwa nilipe hela ya contractor wakati nyumba ilikuwa kuweka mita tu umeme ulikuwepo tayari.
Kimsingi haukulipa hela TANESCO kwa kuwa malipo kwa mkandarasi ni makubaliano yenu hivyo fika ofisi unaa za taratibu na ulipe kwa kupitia control number utakayopewa.
 
Hii wiki imekua Ni vilio kwa watu kila mahali,

Wengi wameondolewa tarrif zero, na Hakuna maelezo ya kueleweka.

Tumezoea ukizidisha matumizi ya unit 70 kwa mwezi, automatically system inakuondoa tariff zero (umeme wa 1,000= unit 8.4)
Kwa sasa unaondolewa tu kwa lazima hata Kama ujazidisha.

Mtu Hana tv Wala redio, anatumia balbu 2 tu na simu kaondolewa tarrif zero. Akitaka kununua umeme UNAGOMA afu anaambiwa "unatakiwa upate key change".

Sijajua ndo ukusanyaji mpya wa mapato ya serikali kwa kulazimisha watu wengi watumie tarrif 4 (umeme wa 1000= unit 2.9) au Kuna kitu kingine pembeni kinaendelea TUFAHAMISHWE.

Kwa maana tangu huu mwezi uanze, vijana wa Tanesco wamekua wakipita nyumba Hadi nyumba mara kwa mara, wakidai wanakusanya takwimu za mita za luku.
Kaka nunua solar uwakomeshe

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom