Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

Mimi nipo Goba, nimeunga umeme 2018. Tangia niungiwe umeme sikuwahi kutumia zaidi ya Units 50 kwa mwezi.
Lakini bado mmeniweka kwenye Tarrif kubwa ya T1 (75-7500) units.
Nataka kurudi ninapostahili D1 nifanyeje?
 
Wa mjini ambao hawazidi unit 75 kwa nini hawashuki automatically??

Tunanunua umeme bei ghali sana aisee, yaani unit 70 tunanunua kwa shilingi elfu 25, hali mbaya!
 
Na kwa nyongeza, kipindi cha mwezi mmoja, kinasomeka kwa kalenda ya kawaida, yaani kuanzia tarehe 1 mpaka 30 (mwisho wa mwezi) au kinasomeka kama utaratibu wa bando za simu, yaani siku 30 toka ulipoweka umeme?
 
Naombeni kuunganishwa Tarif 0
 
Mkuu kwanza hamnaga hiyonkitu unaita Tariff Zero. Tariffs zipo D1 , T1, T2 na T3.

Mteja utawekwa kwenye tariff husika kulingana na matumìizi yako ya umeme kwa mwezi. Sasa wewe kama unatumia zaidi ya unit 75 bado unataka ubakizwe kwenye D1 (ambayo ndio mnaita tariff zero)?

Nadhani ni kukosa uelewa au kushindwa kufuatilia terms and conditions. TANESCO toeni elimu kwa wateja wenu.

 
Why waondoe na mie nilitaka nikahamie huko Tarriff zero jamani.
Yaani Hawa jamaa sijui wanawaza Nini.
Saivi ni zamu ya masikini kuishi Kama mamshetani na wao wakamuliwe ama aanalipiza kisasi.
Jom alikamua mafisadi hela zikapatikana huyu kawachia.
 
Wa mjini ambao hawazidi unit 75 kwa nini hawashuki automatically??

Tunanunua umeme bei ghali sana aisee, yaani unit 70 tunanunua kwa shilingi elfu 25, hali mb

Mimi sijawahi zidisha units 50 kwa mwezi tangia niunge umeme 2018 lakini hawajaniweka kwenye hiyo tarrif D1
 
Ikishazidi mwezi mmoja, ukinunua umeme unaofuatia units zinakua chache
 
Jibu swali, acha kujibu kama roboti.

Umeulizwa, hizi taarifa ni za kweli?

Ulitakiwa kujibu NDIO au HAPANA!

Waswahili bana! Maneno meeengiii ujanja ujanja tu.

Narudia kukuuliza: HIZI TAARIFA NI ZA KWELI?
Mimi niko kwenye kiwango kidogo cha matumizi, nasubiri huu mwezi ninunue nione kama watakuwa wameondoa. Unaweza ukawapa mita namba na wakakuondoa maana hawa washezi
 
Jibu swali, acha kujibu kama roboti.

Umeulizwa, hizi taarifa ni za kweli?

Ulitakiwa kujibu NDIO au HAPANA!

Waswahili bana! Maneno meeengiii ujanja ujanja tu.

Narudia kukuuliza: HIZI TAARIFA NI ZA KWELI?
Tanasco ni kati ya mashirika yenye 'Poor customer care' mimi huwa nakereka nao sana hasa nikiwa na tatizo la umeme. Wana jibu lao kila unapowapigia wanakwambia 'Mafundi wetu watakuja hivi punde' unamaliza wiki wakati mwingine mwezi lakini ukiwapigia jibu lao ni hilo hilo tu.
 
Kile kipindi umeme unasumbua kuna watu wameondolewa kwenye tarif zero kutokana na kurudia rudia kununua umeme. Lakini Tanesco hayo malalamiko hata hawatilii manani
 
Elimu bure, flyovers, mishahara, barabara za lami, ndege, SGR, Bwawa la Nyerere, madawa, madaraja, mwendokasi, njia nane e.t.c. vinahitaji kulipiwa na sisi wenyewe.
KULIPA KODI NI WAJIBU WA KILA MWANANCHI.
Tatizo wala sio hilo, tatizo ni kuwa mzalendo wa nchi yako wakati kuna wachache wanaitafuna nchi kweli kweli. Hilo ni tatizo...tena kubwa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…