Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho kabisaaa..kipi kianze kati ya mindset au katiba..
Jibu ni rahisi..ili uwe na katiba bora, lazima wanaoiandaa hiyo katiba wawe na mindset nzuri ambazo hazitakuwa na bias zozote au kufanya muhiml mmoja kuwa na nguvu zid ya mwingine..hivyo katiba bora huundwa na watu wenye mindset bora na sio katiba bora ilete watu wenye mindset bora..
Waliipemda Dodoma kinafiki, Mtesi hayupo amekwemda zake....thats why!!Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi kutoka au kwenda Dar na Dodoma. Matrafiki siku hizi hawana hata mpango wa kuyasimamisha tena. Wamechoka wanaangalia tu.
Gharama hizo za magari kukimbia njia ya Dar Dom ninaona ni kuwa mno kiasi kwamba angekuwepo Mwendazake isingekuwa hivi - wengine hadi juzi wamediriki kuamua kurudisha Ofisi zao Dar - Waziri yule kaitoa Ofisi Moro kuipeleka Dar badala ya Dodoma. Ninamkumbuka sana Mwendazake jamani!
Hivi leo hii tukiitisha roll call ya Viongozi Dodoma ni Mawaziri na Wanaibu Waziri na Makatibu Wakuu wangapi watakuwepo Dodoma leo?
Kumbuka juzi tu karibu wote walikuwa Dar kwa Sabasaba - leo Ijumaa tayari wanne wamepanga ndege na kuna magari zaidi ya 6 yanaelekea Dar now bila hata sababu yeyote. Pumzika kwa Amani Mwendazake! Tumekumiss sana sana!
Mkuu, hapa hakuna cha kuku wala yai!Hapo sasa ndipo tunaingia kwenye mjadala wa kati ya kuku na yai kipi kinamtangulia mwenzake
Ni hivi nikisema mindset naamina utambuzi wa mtu binafsi kuelewa nini mana ya kuwa na katiba na jinsi ya kuiheshimh na kuilinda hiyo katiba.kama watu hawafika kwenye hiyo level ya kutambua umuhimu wa kuiheshimu na kuilinda katiba baas ujue hata hiyo mpyaa itasiginwaa mchana na usiku..
Kwa hiyo wewe huoni umhimu wowote wa kuwepo na katiba yoyote, hata hii iliyopo hatuihitaji?Jambo la pili nani wakuibadilisha hiyo kindset.? Jibu ni moja tu mindset haibadilishwi na mtu mwingine yyte yule isipokuwa na muhusika mwenyewe..leo ww ukiwa na mindset inayoheshimu uhuru wa mtu basi huyo mtu uliemuheshimu leo kesho na yeye ataheshimu wengine and it keeps on evolving..
Usidanganyike.Dodoma ni pabaya.
Hongera mama Samia kwa kurudi Dar.
Sioni jibu hapo aisee; ila mizunguko tu ya maneno!Mwisho kabisaaa..kipi kianze kati ya mindset au katiba..
Jibu ni rahisi..ili uwe na katiba bora, lazima wanaoiandaa hiyo katiba wawe na mindset nzuri ambazo hazitakuwa na bias zozote au kufanya muhiml mmoja kuwa na nguvu zid ya mwingine..hivyo katiba bora huundwa na watu wenye mindset bora na sio katiba bora ilete watu wenye mindset bora..
Mkuu 'Jokaa Kuu', najua unafahamu vyema kabisa uamuzi ulipofanywa sababu zilizotolewa kwa uamzi huo, kwa wakati huo...mimi hoja yangu ni kwamba uamuzi wetu haukuwa na tija, wala ulazima
Bwana kalamu! Kwa kuwa akili yako kwa sasa umeiseti kwenye katiba katiba katiba mpyaaa..baaas hata ninachokiandika hutaweza kukielewaaa wacha nikuachee tu na niendelee kujenga uchumi wa nchi kama rais alivyosisitizaa..Mkuu, hapa hakuna cha kuku wala yai!
Huwezi kuacha kutunga katiba eti usubiri "utambuzi wa mtu", ingekuwa hivyo pasingeandikwa katiba popote duniani.
Nashangaa sana kwamba hata hili lililowazi kabisa unakaa na kulikomalia!
Kwa hiyo wewe huoni umhimu wowote wa kuwepo na katiba yoyote, hata hii iliyopo hatuihitaji?
Mi nadhani huelewi unachoandika hapa kwa haya unayoeleza.
Katiba nzuri ni kitu kimoja, usimamizi wa katiba hiyo ni kitu kingine. Iwapo tuna sheria inayosema kuwa makao makuu ya serikali ni Dodoma, kwa nini sheria hiyo haisimamiwi.Dawa ya mambo ya hovyo hovyo katiba mpya na sii mtu au mamlaka ndani ya Katiba ya sasa.Hivyo ikiwa unakereka na haya unga mkono juhudi za kizalendo,mwendo ni katiba mpya dawa ya mambo mbofumbofu.
Hapana, usiondoke ukiwa na kinyongo na ninayoyaandika mimi, ukweli ni kwamba huna hoja ya kuitetea hapa.Bwana kalamu! Kwa kuwa akili yako kwa sasa umeiseti kwenye katiba katiba katiba mpyaaa..baaas hata ninachokiandika hutaweza kukielewaaa wacha nikuachee tu na niendelee kujenga uchumi wa nchi kama rais alivyosisitizaa..
Ingekuwa watu wamepata utambuzi kwanza baas ile rasimu ya warioba ingeshapitishwaaa lakin kwa kuwa watu hawana utambuzi..tasimu imeishiwa hewaniii...kalagha bakhooo
Tatizo ni ujinga na ujuaji aisee hivi katiba ikibadilishwa inaweza kubadili maisha yako kivipi?Dawa ya mambo ya hovyo hovyo katiba mpya na sii mtu au mamlaka ndani ya Katiba ya sasa.Hivyo ikiwa unakereka na haya unga mkono juhudi za kizalendo,mwendo ni katiba mpya dawa ya mambo mbofumbofu.
Nini ambacho kimeligharimu taifa?Tuliwaambia, maamuzi ya kukurupuka na kutafuta kiki anayoyafanya Mwendazake, yataligharamu Taifa in future, ona Sasa.
Uamuzi wa kujenda dodoma ulipitishwa mwaka na kuwa sheria 1972, yaani zamani sana. Haukuwa uamuzi wa kulazimisha kwani ulipita kjidemokrasia kabisa wawakilishi wa mikoa yote walipiga kura na kupitisha uamuzi huo isipokuwa mkoa wa Pwani ndio uliopinga (mwulize Kikwete kwa nini walipinga). Mwaka 1976 Nigeria nao waliamua kuhamisha makao kutoka lagos kwenda Abuja, na wao walishahama siku nyingi sana wakati sisi bado tunapiga maktaimu kila siku. Kutokuwa serious na sheria zetu ni sehemu ya uzembe wetu unaotufanya tushindwe kuendelea. Tulipopata mtu anayesimamia sheria sawasawa tukalalalamika sana kwa sababu hatukuzowea kutii sheria zetu...uamuzi wa kuhamia Dodoma ulikuwa mbaya na wa kulazimisha.
..hatukupaswa kujenga makao makuu mengine wakati tulikuwa na makao makuu yanayojitosheleza hapa Dsm.
..sio kweli kwamba makao makuu ya nchi yanapaswa kuwa katikati ya nchi husika.
..Afrika Kusini kila mhimili una makao yake makuu.
..Executive wako Pretoria, bunge wako Cape Town, na mahakama wako Bloemfontein.
..Fedha tulizotumia kujenga Dodoma zingeweza kuelekezwa ktk sekta ambazo zinagusa maisha ya wananchi kama afya, elimu, maji, etc.
Katiba nzuri inajilinda na huwapa wananchi na wasimamizi uwezo wa kuisimamia isivunjwe ovyo ovyo. Ni katiba isiyompa mtu mmoja mamlaka makubwa, hata ya kumwezesha kuivunja katiba yenyewe bila kuhojiwa kwa mamlaka makubwa anayopewa na katiba mbovu.Katiba nzuri ni kitu kimoja, usimamizi wa katiba hiyo ni kitu kingine. Iwapo tuna sheria inayosema kuwa makao makuu ya serikali ni Dodoma, kwa nini sheria hiyo haisimamiwi.
Kuna nchi ina kiwanda cha kuset mind? Katiba ni mwongozo mkuu wa do this, don't do this. Sasa hiyo mind unaiset ikatekeleze maagizo mabovu? Katiba imeachia madaraka kwa mtu mmoja kama Lori la mchanga lililokata breki, hata ukiset mind ya dereva itasaidia nini?Huwa nawashangaa sana watu wanaodai katiba mpyaa...mnashindwa kujua shida iko wap..hata ukiwa na katiba bora kama nn..bila kuwa na watu wanaoiheshimu ni kaz bure..katiba haijindeshi yenyewwwe..wapo watu wanaisimamia hiyo katiba..kama hao watu ni hovyoo baas wataikanyagaa tu hiyo katibaaa...hivyoo kinatakiwa ni mind set za hao watu zibadilike hapo ndipo katiba itasaidia..la sivyo ni kutwanga maji kwenye kinu..
Hii iliyopo tu inasiginwaa mchana kutwaa..
Dah! Umenikumbusha huyo mwendawazimu..ahahahah kuna siku alisema 'hivi mtu akinywa sanitizer hawezi pona Corona?'Kama uko makini kwenye siasa za kimataifa unaweza fahamu nani mwenye nguvu kati ya katiba ya nchi na rais alieko madarakan..naomba urejelee utendaji kaz wa trump aliekuwa rais wa marekani..pamoja na kwamba wamarekani wengi wako vzur kichwani haswa kwenye masuala la nchi yao na katiba..lakin kichaa trump aliwatingisha kweli kweli had wakanyoosha mikono..sembuse haka ka nchi kalichojaa mazwazwaa kila kona..nakuhakikishia hata hiyo katiba iwejee rais kama hana heshima na ustaarabu kwenye ubongo wake ataikanyaga mchana kweupe na hatafanywa kitu
Hamna wewe endelea kulala usingizini na kuendelea kupata manufaa yaliyo ndani ya urefu wa kamba yako ukiamka, utuambie.Nini ambacho kimeligharimu taifa?