Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uko makini kwenye siasa za kimataifa unaweza fahamu nani mwenye nguvu kati ya katiba ya nchi na rais alieko madarakan..naomba urejelee utendaji kaz wa trump aliekuwa rais wa marekani..pamoja na kwamba wamarekani wengi wako vzur kichwani haswa kwenye masuala la nchi yao na katiba..lakin kichaa trump aliwatingisha kweli kweli had wakanyoosha mikono..sembuse haka ka nchi kalichojaa mazwazwaa kila kona..nakuhakikishia hata hiyo katiba iwejee rais kama hana heshima na ustaarabu kwenye ubongo wake ataikanyaga mchana kweupe na hatafanywa kitu
Uonaji wa mambo wako una hitilafu.Kama uko makini kwenye siasa za kimataifa unaweza fahamu nani mwenye nguvu kati ya katiba ya nchi na rais alieko madarakan..naomba urejelee utendaji kaz wa trump aliekuwa rais wa marekani..pamoja na kwamba wamarekani wengi wako vzur kichwani haswa kwenye masuala la nchi yao na katiba..lakin kichaa trump aliwatingisha kweli kweli had wakanyoosha mikono..sembuse haka ka nchi kalichojaa mazwazwaa kila kona..nakuhakikishia hata hiyo katiba iwejee rais kama hana heshima na ustaarabu kwenye ubongo wake ataikanyaga mchana kweupe na hatafanywa kitu
Hapo sasa ndipo tunaingia kwenye mjadala wa kati ya kuku na yai kipi kinamtangulia mwenzakeLOooo, wewe unasubiri 'mindset' zibadilike, na hata hujisumbui kueleza 'mindset' za nani na zitabadilishwa na nani?
Kama mawazo kama haya siyo maajabu sijui tuyaite ni kitu gani hicho!
Yaani hoja nzima ni ya ajabu kabisa: katiba isibadilishwe, isubiri 'mindset' zibadilishwe!
Kwa nini usiangalie angalao uwezekano wa hiyo katiba mpya ndiyo iwe chachu ya kubadilisha 'mindset' za watu kuithamini hiyo katiba, na kujitahidi kuilinda isikanyagwe hovyo hovyo na watawala?
Hili kwako hulioni kuwa na maana yoyote; umejikita tu kwenye 'mindset'!
Dodoma ni pabaya.Hawa viongozi inatakiwa watulizane tu wafanye kazi za wananchi hapo hapo Dodoma.
Mwisho kabisaaa..kipi kianze kati ya mindset au katiba..LOooo, wewe unasubiri 'mindset' zibadilike, na hata hujisumbui kueleza 'mindset' za nani na zitabadilishwa na nani?
Kama mawazo kama haya siyo maajabu sijui tuyaite ni kitu gani hicho!
Yaani hoja nzima ni ya ajabu kabisa: katiba isibadilishwe, isubiri 'mindset' zibadilishwe!
Kwa nini usiangalie angalao uwezekano wa hiyo katiba mpya ndiyo iwe chachu ya kubadilisha 'mindset' za watu kuithamini hiyo katiba, na kujitahidi kuilinda isikanyagwe hovyo hovyo na watawala?
Hili kwako hulioni kuwa na maana yoyote; umejikita tu kwenye 'mindset'!
Utasemwa unaanza chokochoko ,wakati wasema ukweli, jamani viongozi Dodoma haiepukiki, hatuwezi kua twafanya Jambo twarudi nyuma, mh rais stop thatYaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi kutoka au kwenda Dar na Dodoma. Matrafiki siku hizi hawana hata mpango wa kuyasimamisha tena. Wamechoka wanaangalia tu.
Gharama hizo za magari kukimbia njia ya Dar Dom ninaona ni kuwa mno kiasi kwamba angekuwepo Mwendazake isingekuwa hivi - wengine hadi juzi wamediriki kuamua kurudisha Ofisi zao Dar - Waziri yule kaitoa Ofisi Moro kuipeleka Dar badala ya Dodoma. Ninamkumbuka sana Mwendazake jamani!
Hivi leo hii tukiitisha roll call ya Viongozi Dodoma ni Mawaziri na Wanaibu Waziri na Makatibu Wakuu wangapi watakuwepo Dodoma leo?
Kumbuka juzi tu karibu wote walikuwa Dar kwa Sabasaba - leo Ijumaa tayari wanne wamepanga ndege na kuna magari zaidi ya 6 yanaelekea Dar now bila hata sababu yeyote. Pumzika kwa Amani Mwendazake! Tumekumiss sana sana!
Katiba ,katiba, katiba..Nakubaliana na wewe kwa 50%.
..Ni kweli Wamarekani walitingishwa na kiongozi mhuni Donald Trump.
..Lakini ni kweli pia katiba yao ndio iliyowaokoa wasisambaratishwe moja kwa moja.
..kama katiba ya Marekani isingekuwa imesukwa kwa namna ambayo Raisi wao hawezi kuingilia na kupanga matokeo leo hii Trump angekuwa bado ni Raisi.
..kwa hiyo bado tunahitaji katiba bora pamoja na kwamba upo uwezekano wa wananchi kuchagua viongozi wa hovyo.
..katiba bora ndiyo itakayowapa nguvu na ulinzi WAADILIFU kumfunga breki kiongozi wa hovyo-hovyo.
Huwa nawashangaa sana watu wanaodai katiba mpyaa...mnashindwa kujua shida iko wap..hata ukiwa na katiba bora kama nn..bila kuwa na watu wanaoiheshimu ni kaz bure..katiba haijindeshi yenyewwwe..wapo watu wanaisimamia hiyo katiba..kama hao watu ni hovyoo baas wataikanyagaa tu hiyo katibaaa...hivyoo kinatakiwa ni mind set za hao watu zibadilike hapo ndipo katiba itasaidia..la sivyo ni kutwanga maji kwenye kinu..
Hii iliyopo tu inasiginwaa mchana kutwaa..
Nigeria, Malawi wamejenga na kuhamia makao makuu mapya, kama kutaja mifano kunasaidia kuwekea uzito hoja.
Uamzi wa kufanya Dodoma kuwa makao makuu ya serikali haukuwa na hauna ubaya wowote. Dar es Salaam itaendelea kuwa kituo kikuu cha biashara, sioni tatizo liko wapi.
Hawa viongozi inatakiwa watulizane tu wafanye kazi za wananchi hapo hapo Dodoma.
Moja ya historia mbaya inayoweza kumwandama Samia ni huku kuhangaika na safari za kila siku kwenda Dar es Salaam, na atakaporuhusu na mawaziri wake waige tabia hiyo, atajiwekea alama mbaya katika uongozi wake.
Kwahiyo unataka tuondoe kwanza viongozi waliopo tulete wapya watakaoiheshimu katiba ?Huwa nawashangaa sana watu wanaodai katiba mpyaa...mnashindwa kujua shida iko wap..hata ukiwa na katiba bora kama nn..bila kuwa na watu wanaoiheshimu ni kaz bure..katiba haijindeshi yenyewwwe..wapo watu wanaisimamia hiyo katiba..kama hao watu ni hovyoo baas wataikanyagaa tu hiyo katibaaa...hivyoo kinatakiwa ni mind set za hao watu zibadilike hapo ndipo katiba itasaidia..la sivyo ni kutwanga maji kwenye kinu..
Hii iliyopo tu inasiginwaa mchana kutwaa..
Trump aliwatingisha wamarekani au alijitingisha mwenyewe na kudondoka ??Kama uko makini kwenye siasa za kimataifa unaweza fahamu nani mwenye nguvu kati ya katiba ya nchi na rais alieko madarakan..naomba urejelee utendaji kaz wa trump aliekuwa rais wa marekani..pamoja na kwamba wamarekani wengi wako vzur kichwani haswa kwenye masuala la nchi yao na katiba..lakin kichaa trump aliwatingisha kweli kweli had wakanyoosha mikono..sembuse haka ka nchi kalichojaa mazwazwaa kila kona..nakuhakikishia hata hiyo katiba iwejee rais kama hana heshima na ustaarabu kwenye ubongo wake ataikanyaga mchana kweupe na hatafanywa kitu
Hapana brother,hiyo katiba tunayoiongelea hapa sio hii,raisi akiikanyaga anajua kabisa atafunguliwa mashtaka so watawala hawa wame-relax kwa sababu wanajua katiba hii haina meno na mihimili mingine wameitia mfukoni.tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa utawala wa bwana yule,na mtu yeyote mwenye akili timamu hatopenda mtawala kama yule atokee tena kwenye nchi yetu.Kama uko makini kwenye siasa za kimataifa unaweza fahamu nani mwenye nguvu kati ya katiba ya nchi na rais alieko madarakan..naomba urejelee utendaji kaz wa trump aliekuwa rais wa marekani..pamoja na kwamba wamarekani wengi wako vzur kichwani haswa kwenye masuala la nchi yao na katiba..lakin kichaa trump aliwatingisha kweli kweli had wakanyoosha mikono..sembuse haka ka nchi kalichojaa mazwazwaa kila kona..nakuhakikishia hata hiyo katiba iwejee rais kama hana heshima na ustaarabu kwenye ubongo wake ataikanyaga mchana kweupe na hatafanywa kitu
Yote kwa yote katiba mpya iwepo kwanza wasiotaka kuishemu katiba wembe ni ule ule uliotumika kumnyolea Jacob Zuma ndio huohuo utakaotumika kuwanyolea wasiotaka kuiheshimu katibaHuwa nawashangaa sana watu wanaodai katiba mpyaa...mnashindwa kujua shida iko wap..hata ukiwa na katiba bora kama nn..bila kuwa na watu wanaoiheshimu ni kaz bure..katiba haijindeshi yenyewwwe..wapo watu wanaisimamia hiyo katiba..kama hao watu ni hovyoo baas wataikanyagaa tu hiyo katibaaa...hivyoo kinatakiwa ni mind set za hao watu zibadilike hapo ndipo katiba itasaidia..la sivyo ni kutwanga maji kwenye kinu..
Hii iliyopo tu inasiginwaa mchana kutwaa..
Si mlikuwa mnamtukana Magufuli?Hayo ni matunda ya utawala wa kiimla ya dikteta Magufuli. Watendaji walijaa unafiki mtupu. Watu waliacha kufanya kazi kufuata miongozo na wakawa busy kumridhisha Magufuli huku wakitesa watanzania.