Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao watu watakaoiheshimu watazaliwa lini?.au utaenda kuwaazima nchi gani?.Watu tayari wako kinachokosekana ni muongozo thabiti ndo maana mambo yanaenda ovyo ovyo.mambo mengine hayahitaji elimu kubwa kuyaelewaHuwa nawashangaa sana watu wanaodai katiba mpyaa...mnashindwa kujua shida iko wap..hata ukiwa na katiba bora kama nn..bila kuwa na watu wanaoiheshimu ni kaz bure..katiba haijindeshi yenyewwwe..wapo watu wanaisimamia hiyo katiba..kama hao watu ni hovyoo baas wataikanyagaa tu hiyo katibaaa...hivyoo kinatakiwa ni mind set za hao watu zibadilike hapo ndipo katiba itasaidia..la sivyo ni kutwanga maji kwenye kinu..
Hii iliyopo tu inasiginwaa mchana kutwaa..
Sahihi kabisaHuwa nawashangaa sana watu wanaodai katiba mpyaa...mnashindwa kujua shida iko wap..hata ukiwa na katiba bora kama nn..bila kuwa na watu wanaoiheshimu ni kaz bure..katiba haijindeshi yenyewwwe..wapo watu wanaisimamia hiyo katiba..kama hao watu ni hovyoo baas wataikanyagaa tu hiyo katibaaa...hivyoo kinatakiwa ni mind set za hao watu zibadilike hapo ndipo katiba itasaidia..la sivyo ni kutwanga maji kwenye kinu..
Hii iliyopo tu inasiginwaa mchana kutwaa..
Kwahiyo nchi iache kua na viongozi waadilifu tusubir mtu mwenywe abadilike mindset.hakuna kitu cha hivyo duniani ndo maana kuna sheria na vyombo vya dola.mradi umeamua kutumikia wananchi lazima uishi na kutenda kulingana na sheria zilizopo ata kama una tabia zako binafsi.Mambo ya utashi yabaki kwenye mambo binafsi sio shughuli za nchi.Hapo sasa ndipo tunaingia kwenye mjadala wa kati ya kuku na yai kipi kinamtangulia mwenzake
Ni hivi nikisema mindset naamina utambuzi wa mtu binafsi kuelewa nini mana ya kuwa na katiba na jinsi ya kuiheshimh na kuilinda hiyo katiba.kama watu hawafika kwenye hiyo level ya kutambua umuhimu wa kuiheshimu na kuilinda katiba baas ujue hata hiyo mpyaa itasiginwaa mchana na usiku..
Jambo la pili nani wakuibadilisha hiyo kindset.? Jibu ni moja tu mindset haibadilishwi na mtu mwingine yyte yule isipokuwa na muhusika mwenyewe..leo ww ukiwa na mindset inayoheshimu uhuru wa mtu basi huyo mtu uliemuheshimu leo kesho na yeye ataheshimu wengine and it keeps on evolving..
Mfano hivi unazani leo hii chadema wakikamata nchi wataheshimu uhuru wa wapinzani wao? Hakuna kwa sabab wao hawakuheshimiwaaa...hivyo to change a mindset, begins with an individual him/herself.
Mkuu kwa mtazamo wangu mm huyu mama hawezi kua rais bora kabisa kwa kifupi mm smukubali hata kidogo nimejipa mda ili nijirizishe kwanza na utendaji wake.Nigeria, Malawi wamejenga na kuhamia makao makuu mapya, kama kutaja mifano kunasaidia kuwekea uzito hoja.
Uamzi wa kufanya Dodoma kuwa makao makuu ya serikali haukuwa na hauna ubaya wowote. Dar es Salaam itaendelea kuwa kituo kikuu cha biashara, sioni tatizo liko wapi.
Hawa viongozi inatakiwa watulizane tu wafanye kazi za wananchi hapo hapo Dodoma.
Moja ya historia mbaya inayoweza kumwandama Samia ni huku kuhangaika na safari za kila siku kwenda Dar es Salaam, na atakaporuhusu na mawaziri wake waige tabia hiyo, atajiwekea alama mbaya katika uongozi wake.
Hawa watu wanaodai katiba mpya wanataka tume itakayoweza kuwapa ushindi watwae madaraka hakuna kingine cha msingi wanachopiganiaKama uko makini kwenye siasa za kimataifa unaweza fahamu nani mwenye nguvu kati ya katiba ya nchi na rais alieko madarakan..naomba urejelee utendaji kaz wa trump aliekuwa rais wa marekani..pamoja na kwamba wamarekani wengi wako vzur kichwani haswa kwenye masuala la nchi yao na katiba..lakin kichaa trump aliwatingisha kweli kweli had wakanyoosha mikono..sembuse haka ka nchi kalichojaa mazwazwaa kila kona..nakuhakikishia hata hiyo katiba iwejee rais kama hana heshima na ustaarabu kwenye ubongo wake ataikanyaga mchana kweupe na hatafanywa kitu
Bwana yule alikua anaenda Sana chato mbona mawaziri wake hawakuiga kwenda huko kitovuni?Nigeria, Malawi wamejenga na kuhamia makao makuu mapya, kama kutaja mifano kunasaidia kuwekea uzito hoja.
Uamzi wa kufanya Dodoma kuwa makao makuu ya serikali haukuwa na hauna ubaya wowote. Dar es Salaam itaendelea kuwa kituo kikuu cha biashara, sioni tatizo liko wapi.
Hawa viongozi inatakiwa watulizane tu wafanye kazi za wananchi hapo hapo Dodoma.
Moja ya historia mbaya inayoweza kumwandama Samia ni huku kuhangaika na safari za kila siku kwenda Dar es Salaam, na atakaporuhusu na mawaziri wake waige tabia hiyo, atajiwekea alama mbaya katika uongozi wake.
Kama umejenga Banda kule imekula kwako,Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi kutoka au kwenda Dar na Dodoma. Matrafiki siku hizi hawana hata mpango wa kuyasimamisha tena. Wamechoka wanaangalia tu.
Gharama hizo za magari kukimbia njia ya Dar Dom ninaona ni kuwa mno kiasi kwamba angekuwepo Mwendazake isingekuwa hivi - wengine hadi juzi wamediriki kuamua kurudisha Ofisi zao Dar - Waziri yule kaitoa Ofisi Moro kuipeleka Dar badala ya Dodoma. Ninamkumbuka sana Mwendazake jamani!
Hivi leo hii tukiitisha roll call ya Viongozi Dodoma ni Mawaziri na Wanaibu Waziri na Makatibu Wakuu wangapi watakuwepo Dodoma leo?
Kumbuka juzi tu karibu wote walikuwa Dar kwa Sabasaba - leo Ijumaa tayari wanne wamepanga ndege na kuna magari zaidi ya 6 yanaelekea Dar now bila hata sababu yeyote. Pumzika kwa Amani Mwendazake! Tumekumiss sana sana!
Inakuuma nini labda. Ulitaka wawe Chato mwezi mzima?Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi kutoka au kwenda Dar na Dodoma. Matrafiki siku hizi hawana hata mpango wa kuyasimamisha tena. Wamechoka wanaangalia tu.
Gharama hizo za magari kukimbia njia ya Dar Dom ninaona ni kuwa mno kiasi kwamba angekuwepo Mwendazake isingekuwa hivi - wengine hadi juzi wamediriki kuamua kurudisha Ofisi zao Dar - Waziri yule kaitoa Ofisi Moro kuipeleka Dar badala ya Dodoma. Ninamkumbuka sana Mwendazake jamani!
Hivi leo hii tukiitisha roll call ya Viongozi Dodoma ni Mawaziri na Wanaibu Waziri na Makatibu Wakuu wangapi watakuwepo Dodoma leo?
Kumbuka juzi tu karibu wote walikuwa Dar kwa Sabasaba - leo Ijumaa tayari wanne wamepanga ndege na kuna magari zaidi ya 6 yanaelekea Dar now bila hata sababu yeyote. Pumzika kwa Amani Mwendazake! Tumekumiss sana sana!
Hayo yote yanaonyesha nj namna gani viongozi walivyo wanafkiYaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi kutoka au kwenda Dar na Dodoma. Matrafiki siku hizi hawana hata mpango wa kuyasimamisha tena. Wamechoka wanaangalia tu.
Gharama hizo za magari kukimbia njia ya Dar Dom ninaona ni kuwa mno kiasi kwamba angekuwepo Mwendazake isingekuwa hivi - wengine hadi juzi wamediriki kuamua kurudisha Ofisi zao Dar - Waziri yule kaitoa Ofisi Moro kuipeleka Dar badala ya Dodoma. Ninamkumbuka sana Mwendazake jamani!
Hivi leo hii tukiitisha roll call ya Viongozi Dodoma ni Mawaziri na Wanaibu Waziri na Makatibu Wakuu wangapi watakuwepo Dodoma leo?
Kumbuka juzi tu karibu wote walikuwa Dar kwa Sabasaba - leo Ijumaa tayari wanne wamepanga ndege na kuna magari zaidi ya 6 yanaelekea Dar now bila hata sababu yeyote. Pumzika kwa Amani Mwendazake! Tumekumiss sana sana!
Dalili zinaonesha wazi kabisa!Hayo yote yanaonyesha nj namna gani viongozi walivyo wanafki
Kipindi cha mwendazake wasingeunga mkono suala la kuhamia Dodoma kama hawakuridhia
Na bado tutajionea mengi na ufujaji wa kodi zetu utakuwa wa hali ya juu mno
Kweli kabisa,Magufuli hakufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuhamisha makao ya serikali.Tuliwaambia, maamuzi ya kukurupuka na kutafuta kiki anayoyafanya Mwendazake, yataligharamu Taifa in future, ona Sasa.
Tatizo liko kwa aliyefikiria kuwa Dodoma kuwa Makao makuu.Tangu mwanzo yeye mwenyewe kamalizia miaka yake zaidi ya 20 akiwa Bongo Daslam sasa anakuja jamaa kurupu twendeni Dom.Thubutu.Kukaa Dodom inahitaji Moyo.Hao wabunge wa Dodoma akina Ndugai wikiend wako Dar. Hata Mwendazake siku alizokaa Dodoma ni chache kuliko alizokaa Dar.Kwa ufupi hakuna Mtazania asiyependa kukaa Dar.Tatizo liko kwa msimamizi
Hii ndio Tanzania,my country [emoji17][emoji17][emoji17]Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi kutoka au kwenda Dar na Dodoma. Matrafiki siku hizi hawana hata mpango wa kuyasimamisha tena. Wamechoka wanaangalia tu.
Gharama hizo za magari kukimbia njia ya Dar Dom ninaona ni kuwa mno kiasi kwamba angekuwepo Mwendazake isingekuwa hivi - wengine hadi juzi wamediriki kuamua kurudisha Ofisi zao Dar - Waziri yule kaitoa Ofisi Moro kuipeleka Dar badala ya Dodoma. Ninamkumbuka sana Mwendazake jamani!
Hivi leo hii tukiitisha roll call ya Viongozi Dodoma ni Mawaziri na Wanaibu Waziri na Makatibu Wakuu wangapi watakuwepo Dodoma leo?
Kumbuka juzi tu karibu wote walikuwa Dar kwa Sabasaba - leo Ijumaa tayari wanne wamepanga ndege na kuna magari zaidi ya 6 yanaelekea Dar now bila hata sababu yeyote. Pumzika kwa Amani Mwendazake! Tumekumiss sana sana!
Nadhani una false expectation kuhusu Katiba; siyo kweli kuwa katiba inajilinda, bali katiba hulindwa na walioapa kuilinda na kuitetea- yaani viongozi. Kila kiongozi huapa kulinda na kuitetea katiba; wananchi hawana kiapo cha kuilinda na kuitetea katiba. False exepectation ni kudhani kuwa katiba ndiyo mwarobaini (lugha ya prof Shivji) wa kila tatizo letu na kusahau nafasi ya wanaopewa dhyamana ya kuilinda na kuitetea katiba hiyo. Angalia kuwa Uingereza hawana katiba kabisa ila wanaishi kwa sheria za bunge tu, na serikali inajiendesha vizuri kwa kufuata hizo sheria za bunge tu (Magna Carta siyo katiba ya uingereza). Halafu Marekani wana katiba na wanaitanguliza sana lakini wakati wa utawala wa Trump imevunjwa sana.Katiba nzuri inajilinda na huwapa wananchi na wasimamizi uwezo wa kuisimamia isivunjwe ovyo ovyo. Ni katiba isiyompa mtu mmoja mamlaka makubwa, hata ya kumwezesha kuivunja katiba yenyewe bila kuhojiwa kwa mamlaka makubwa anayopewa na katiba mbovu.
Dar imeshakuwa na watu wengi sana kiasi kuwa shughuli za serikali zinakuwa ni kero kwa raia. fikiria unatoka nyumbani kwenda mishe mishe zako, unakuta traffic wamefunga barabara kwa sababu kuna msafara wa rais. Halafu hujafikia mtaa wa pili unakuta barabara zimefungwa kuwa kuna msafara wa makamu wa rais: ni kero sana. Ndiyo maana nchi nyingi sana zilizojengwa miaka ya karibuni hutenga eneo la makao makuu liwe ni tofauati na vitovu vya biashara. Ni nchi za zamani sana ambazo makao makuu ya mfale yalegeuka kuwa vitovu vya biashara na ikabaki hivyo, kwa mfano, Tokyo, London, na nchi kadhaa za ulaya. Na hata hivyo katika miji hiyo bado sehemu za serikali zimetengwa sana na sehemu za biashara.Katika mambo muhimu aliyofanya hayati Magufuli ni kutupeleka DODOMA, ni uamuzi utakaoheshimika vizazi na vizazi. Mnapozungumzia DSM kufaa zaidi ninashangaa, kumbuka kwamba DSM ilijengwa, haikuwa ilivyo Leo. Tatizo letu tunapenda vilivyojengwa, hatupendi kujenga.
Taifa la Israel liko jangwani, lakini miujiza inatendeka, wanafanya vitu vya ajabu, unaposikia Dubai ni miji ya ubunifu, watanzania tatizo hatupendi shida, tunapenda raha, tunataka tukae DSM ili kupiga dili bandalini, tumejaa wizi, uvivu na ubinafsi tu hamna lolote. Ni taifa la watu wa ajabuajabu waisopenda shida.
Tunapenda ngono, lakini hatupendi watoto, kwa sababu tunaogopa kulea, ila tunawapenda watoto wa kike walielewa na watu wengine, hatuko tayari kuleo watoto ila tunapenda uzinzi. Mwanaume was kweli ni yule aliyetayari kubeba wajibu hata ungekuwa mgumu kiasi gani. Wote CCM na wapinzani ni watoto wa mama mmoja. CCM wanataka katiba itakayowafanya waendelee kutawala, wapinzani wanataka katiba itakayowapa zamu ya kutawala, ukiangalia lengo LA wote ni kututawala basi, hakuna jipya.
Mnapoiona DSM kuna watu waliumiza vichwa ndo maana leo mnaiona nzuri, msifikiri kuna watu walikuwa wanaishi mahali fulani na kwenda kuijenga DSM. Waliojenga waliishi pale, walikuwa wanaume kweli kweli, leo mnasema tubaki DSM ili tuijenge Dodoma, ni nini hicho zaidi ya uoga, hofu na kutotaka kuwajibika kwa ajili vizazi vijavyo. Musione vyaelea vimeundwa. Kaeni Dodoma, jengeni Dodoma, acheni ujinga, mukistaafu, kaishini DSM ukiwa mtumishi wa serikali kaa Dodoma full stop mukienda kinyuma na hilo hatutawasamehe.
We want Dodoma our capital city and let it be. Katika hili hatutaki siasa.
Wananchi ndio wenye madaraka yote, ndio wanaowaweka hao viongozi wanaoapa kuisigina katiba, na kwa hiyo wananchi wanao uwezo wa kuwawajibisha.Nadhani una false expectation kuhusu Katiba; siyo kweli kuwa katiba inajilinda, bali katiba hulindwa na walioapa kuilinda na kuitetea- yaani viongozi. Kila kiongozi huapa kulinda na kuitetea katiba; wananchi hawana kiapo cha kuilinda na kuitetea katiba. False exepectation ni kudhani kuwa katiba ndiyo mwarobaini (lugha ya prof Shivji) wa kila tatizo letu na kusahau nafasi ya wanaopewa dhyamana ya kuilinda na kuitetea katiba hiyo. Angalia kuwa Uingereza hawana katiba kabisa ila wanaishi kwa sheria za bunge tu, na serikali inajiendesha vizuri kwa kufuata hizo sheria za bunge tu (Magna Carta siyo katiba ya uingereza). Halafu Marekani wana katiba na wanaitanguliza sana lakini wakati wa utawala wa Trump imevunjwa sana.