Kwa sasa shetani ndiyo Kiongozi Mkuu wa DINI zote

Na ndio muanzilishi wa hili dini kipofu linaloleta vita na misuguano sehemu zote duniani. Eti dunia nzima tunalazimishwa kuwa Waislam. Sasa tukishakiwa Waislam wote wao itawasaidia nini?
 
Umekosea sana, labda ungesema Uyahudi na Ukiristo wanavitabu vyenye chimbuko na Mungu wa Kweli, lakini, Shetani amejipenyeza kiasi kwamba wamepotosha hayo mafundisho.
Lakini Uislam unachimbuko Moja kwa Moja Toka kwa Shetani na Waislam wanatekeleza maahizo ya Shetani

Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu naomba nikuulize swali na unijibu vizuri, hivi wewe binafsi kwa imani yako ulishawahi kukutana na Mungu, Shetani, Malaika au Jini??? Kuna mtu yeyote katika cycle yako ulishawahi kukutana na mmoja wa hao niliowataja hapo juu katika uhai wao?

Kama sio, kwanini ufikiri kwamba shetani ndiye katawala dini zote??? Kwa ushahidi upi???

Mitume wengine kati imani ya Kikristo na Kiislamu wanasema walifanya mauaji kwa maelekezo ya Mungu.

Mkuu nionyeshe mahali kwenye maandiko ambapo mtume moja tu alipewa maelekezo rasmi na shetani kufanya maangamizi ya binadamu???
 
Mkuu,ni kwa ushahidi upi kua uislamu umekuja miaka 600 baada ya UKRISTO??
 
Acha miyeyusho wewe. Ni Mungu gani anayezalisha magonjwa maabara? Ni Mungu gani anayechochea ugaidi? Ni Mungu gani anayewaambia waumini wafunge hadi wafe? Nijibu fasta kabla Bujibuji hajaamka kukujibu
 
Acha miyeyusho wewe. Ni Mungu gani anayezalisha magonjwa maabara? Ni Mungu gani anayechochea ugaidi? Ni Mungu gani anayewaambia waumini wafunge hadi wafe? Nijibu fasta kabla Bujibuji hajaamka kukujibu
Mkuu uungwana ni kujibu maswali yaliyotangulia halafu ndio uulize ya kwako.

Kwa utaratibu huo tutaeleweshana vizuri. Mimi sina ugomvi wala miyeyusho ya aina yoyote nawe.

Mkuu jibu maswali yangu kwanza halafu nitajibu ya kwako bila hiyana.
 
Rc na Papa Si wakristo,

Wasabato pia Si wakristo.

Dini ya ijumaa, nayo ndo vile tena.

Unatakiwa kujua kuwa, Yesu hakuacha dini, aliacha Imani.

Na sasa ndipo Kanisa la Kweli linaanz kurudishwa kama zamani, wakati dini za kishetani wakiabudu jumapili,

Waamini Kristo wa Kweli, kusanyiko lao litarudi Siku ya Jumamosi kama zamani.
 
Waislam mnasema Mungu ni Mwislam, kwanini alieuhusu dini nyingine ziwepo kabla Uislam haujakuwepo?
Hilo sio jibu la swali langu hapo juu,jibu kwanza then uje uulize swali lako

Ni kwa ushahidi upi uislamu umekuja miaka 600 baada ya UKRISTO??
 
Hilo sio jibu la swali langu hapo juu,jibu kwanza then uje uulize swali lako

Ni kwa ushahidi upi uislamu umekuja miaka 600 baada ya UKRISTO??
Hata dini inaongozwa na shetani, mbaya zaidi ni yeye aliyempa mwamedi lile gombo feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…