Kwanza kitengo huwezi kukaa kama hulindi maslahi ya watuTz kila aliyewekwa kwenye kitengo chochote, kipaumbele ni Pesa, sio uadilifu
Kwani Azam wenyewe wanasemaje? , mbona sioni clip wakitoa maelezo kuhusu Benzene inayotokana na mchanganyika wa hiyo Sodium Benzoate na Ascorbic Acid?Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.
Vipi ikiwa azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?
Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Yeah ni kweli, utaundiwa zengwe hadi utumbuliweKwanza kitengo huwezi kukaa kama hulindi maslahi ya watu
Soda kila mtu anajua si salama na tumeshajua ukweli. Shida ipo kwenye hizi ambazo tuliamini ndio kimbilio kwa wale tulioacha soda, maana kaandika ‘JUISI HALISI YA MATUNDA’ , matokeo yake kumbe kaweka Sodium Benzoate na Ascorbic acid huku akijua wazi mchanganyiko huu unazalisha Benzene inayoleta Cancer..., sasa hapo tukae kimya ndugu yangu?!Acheni chuki watanzania,
Unahakika gani juu ya coca cola na Pepsi kuwa ni salama?
Carbonated soft drinks zote hazikosi madhara.
zote hizo hazifai coca,PepsiAcheni chuki watanzania,
Unahakika gani juu ya coca cola na Pepsi kuwa ni salama?
Carbonated soft drinks zote hazikosi madhara.
Watakuwa wanajipanga kujibu kupitia kwa wataalam wao siajabu na TBS sjui tfda na wakawajibiaKwani Azam wenyewe wanasemaje? , mbona sioni clip wakitoa maelezo kuhusu Benzene inayotokana na mchanganyika wa hiyo Sodium Benzoate na Ascorbic Acid?
Ni sahihi kupaza sauti ili kuokoa maisha yetu na pia huenda akatafuta namna ya kurekebisha, 👍Soda kila mtu anajua si salama na tumeshajua ukweli. Shida ipo kwenye hizi ambazo tuliamini ndio kimbilio kwa wale tulioacha soda, maana kaandika ‘JUISI HALISI YA MATUNDA’ , matokeo yake kumbe kaweka Sodium Benzoate na Ascorbic acid huku akijua wazi mchanganyiko huu unazalisha Benzene inayoleta Cancer..., sasa hapo tukae kimya ndugu yangu?!
Sahihi kukosoa hupelekea kuboresha 👍zote hizo hazifai coca,Pepsi
Na nyie wabongo muwe na utamaduni
Wa kukubali ukiona mtu anakosoa
Siyo kila anayekosoa ana chuki
Na mtu au kitu fulani,ila yote ni kueleweshana tu
Ova
Ukitumbuliwa atawekwa mtu waoYeah ni kweli, utaundiwa zengwe hadi utumbuliwe