Kwa sasa sina imani kabisa na bidhaa za Azam, hususani Embe

Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.

Vipi ikiwa azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?

Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Mkuu mavitu mengi tu mtaani wanayaweka hayo makitu kwa mfano mapilipili yakupikwa yanayouzwa mitaani almaarufu chachandu. Kama issue ni mbaya hata masoda na makorokocho mengine yafuatiliwe kwa ukaribu mkuu
 
Mimi nimeachana nazo rasmi

Azam

Sayona

Na matataka mengine yote

Narudi kwenge udau wa maji ya bomba at least hayo Yana chlorine ALSO3 japo nayo sijajua madhara yake
Hata mm bora ninywe maji tu na maziwa
 
Unachosema ni kweli mm niliamini zaidi kwenye juisi kuliko soda
Soda kila mtu anajua si salama na tumeshajua ukweli. Shida ipo kwenye hizi ambazo tuliamini ndio kimbilio kwa wale tulioacha soda, maana kaandika ‘JUISI HALISI YA MATUNDA’ , matokeo yake kumbe kaweka Sodium Benzoate na Ascorbic acid huku akijua wazi mchanganyiko huu unazalisha Benzene inayoleta Cancer..., sasa hapo tukae kimya ndugu yangu?!
sema
 
Hivi kumbe huwa mnakunywa hayoavitu routinely?

Katika vitu ambavyo nilishashindwa kuvitumia ni hizi bidhaa za kitanzania hasa vinywaji baridi.

Mfano tangia vinywaji vya "energy" viingie sokoni, nimekunywa zisizozidi 3.
 
Ukistaajabu hayo halafu njoo ya mo sasa, ile sijui moextra unaambiwa ni soft carbonated drink CSD na hata kwenye ingredients utakuta hivyo, hii ni kupunguza kiasi cha kodi, yaani iko hivi energy drink zinakua na excise duty kubwa kumliko carbonated soft drink, ila deep down ni energy drink na washkaji wanazishambulia ile hatari yaani zina arosto kabisaa na hili liko wazi.
akili kichwani mwako usitegemee tfda wala nani akuambie.
 
Attachments

  • extra.jpg
    extra.jpg
    44.9 KB · Views: 3
Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.

Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?

Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
azamu kateka soko la afirika mashariki wewe usipo nunua umpunguzii kitu ni sawa na kutoa nyasi moja kwenye nyumba itavuja?
 
Vitu hivi wapo kimya ila mama ntilie asie na apron wanavyomkaba koo na fine za ajabu hawajambo
 
Duh mmewakalia kooni hope watajirekebisha
 
Duh mmewakalia kooni hope watajirekebisha
 
Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.

Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?

Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Halafu mimi wakati mwingine siaminigi kama Bakhresa anaweza kuwa anafanya biashara zenye madhara kwa watu.Yaani huwezi jenga msikiti kwenye kiwanda chako halafu hapo hapo unatengeneza na bidhaa zenye madhara kwa watu.nadhani atakuwa anasingiziwa huyu mtu
 
Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.

Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?

Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?

Tafuta hela kijana, azam embe sio juisi
 
azamu kateka soko la afirika mashariki wewe usipo nunua umpunguzii kitu ni sawa na kutoa nyasi moja kwenye nyumba itavuja?
Sawa we endelea kunywa mauchafu hayo na mengi neyo

Ova
 
Back
Top Bottom