Kwa sasa sina imani kabisa na bidhaa za Azam, hususani Embe

Kwa sasa sina imani kabisa na bidhaa za Azam, hususani Embe

Angalau azam wamechanganya wazi wazi na wanaweza wakabadili tu lebo kwani si kuchapisha tu.
Hata expired date za bidhaa si mtengenezaji tu ndio uamua lini iiexpire.
Vyakula vyote vya kusindika si salama sana. Muhimu ni kutumia viondoa sumu mwilini
 
Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.

Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?

Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?

Zaidi ya maji ya kunywa, avoid all other soft drinks kabisa sokoni if you wanna live long.. Hata maji kwa familia chemsheni, yapoe hifadhi muwe mnatumia, sio maji ya viwandani kila siku kwa familia, ni kosa kubwa, kunywa maji ukiwa labda njiani au ofisini, but home tumieni maji ya bomba safi yaliyochemshwa kwa heater kubwa mnunue ni tsh 300,000 ya lita 40, yanapoa, maisha safi kabisa.

Tengeneza juice zako za matunda nyumbani au fresh juice at any good restaurant, ila any industrial soft drink kimbia kabisa.

Maziwa nunua fresh yanayouzwa kwa wafugaji au kwa bill au magari ya maziwa fresh toka kwa wagugaji, nyama nunua fresh, juice nunua fresh au tengeneza home au kula matunda ya kutosha.

Umeelewa? Achana na business za watu.
 
Ni sahihi kupaza sauti ili kuokoa maisha yetu na pia huenda akatafuta namna ya kurekebisha, 👍
Unaponunua chakula unakipimo,je akibadili lebo tu na akabakia na mchanganyiko huo huo nani atajua
 
Zaidi ya maji ya kunywa, avoid all other soft drinks kabisa sokoni if you wanna live long.. Tengeneza juice zako za matunda nyumbani au fresh juice at any good restaurant, ila any industrial soft drink kimbia kabisa.

Maziwa nunua fresh yanayouzwa kwa wafugaji au kwa bill au magari ya maziwa fresh toka kwa wagugaji, nyama nunua fresh, juice nunua fresh au tengeneza home au kula matunda ya kutosha.

Umeelewa? Achana na business za watu.
Hakuna salama hapo bado
1.Maji ya kunywa uwekwa sumu Ili yasioze,na haitakiwi yakutane na mwanga juani usalama upo wapi wakati wanayaanika juani kuuzia watu kwenye magari.
2.Matunda fresh labda uagize vijijini na sio haya masokoni yanayobikirwa kabla ayajakomaa.
Yanavundikwa chini yanapigwa moto,thus hayana ladha halisi.
Kula nanasi,papai,embe,chungwa ya sokoni na ile iliyokomaa yenyewe mtini uone tofauti ya ladha.
3.wanapiga sumu Ili kuua wadudu
 
Mfanyabiashara na mwanasiasa ni mtu na mkewe wote lengo lao kumpora masikini utu, afya, uchumi wake.
Mfanyabiashara anajali pesa YAKO na sio afya yako. Suala la afya ni lako binafsi.
 
Maziwa nayo si salama sana kuna kipindi ngombe wanapewa madawa, sawa na kuku wa kisasa wa nyama na mayai maana kuna dawa ukiwapa wametoa na onyo la kutokula nyama, mayai au maziwa kwa mda Fulani but nani anafuata utaratibu huo
 
Ukistaajabu hayo halafu njoo ya mo sasa, ile sijui moextra unaambiwa ni soft carbonated drink CSD na hata kwenye ingredients utakuta hivyo, hii ni kupunguza kiasi cha kodi, yaani iko hivi energy drink zinakua na excise duty kubwa kumliko carbonated soft drink, ila deep down ni energy drink na washkaji wanazishambulia ile hatari yaani zina arosto kabisaa na hili liko wazi.
akili kichwani mwako usitegemee tfda wala nani akuambie.
Ndio maana alitoa ile neno "energy" kaweka extra ili ionekane kama sio eneji!? Na azam kaja na azam max lakini hajaandika kama ni eneji ukiangalia ingredients haina tofauti na energy...zote hazina tahadhari ya matumaini mpaka watoto wanakunywa sana mitaani. Hii nchi tunakula sana sumu
 
Yes. tujiandae tu kutibu matatizo ya moyo huko mbeleni, waliopewa jukumu la kuangalia afya zetu washatusaliti, hamna tahadhari kama usinywe zaidi ya ngapi kwa siku, hata mama mjamzito atajinywea tu akiamini ni soda ya kawaida. Hii ni hatari zaidi
 
Inasikitisha

Watu wanaangalia hela tu hawaangalii kizazi kijacho, kitakuwa madhara gani kama nguvu kazi itapungua ama la
 
Mkuu ankol tatizo likishakuwa kubwa mbeleni ndio wataanza operesheni lakini watakuwa wamechelewa sana
 
Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.

Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?

Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Ingredients zote huwa zinaandikwa. Zile ambazo ni synthetic au zisizo natural huwa na E number (Food additives number according to EU).Mfano ascorbic acid ni E300 and sodium benzoate ni E211.
Kwenye beverages nyingi ziwe carbonated au zisizo carbonated huwa hizo chemicals zipo hata kwenye sayona tunda zipo.
 
Halafu mimi wakati mwingine siaminigi kama Bakhresa anaweza kuwa anafanya biashara zenye madhara kwa watu.Yaani huwezi jenga msikiti kwenye kiwanda chako halafu hapo hapo unatengeneza na bidhaa zenye madhara kwa watu.nadhani atakuwa anasingiziwa huyu mtu
Unafikiri wachawi hawaendi kanisani au msikitini?
 
Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.

Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?

Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Ile juisi ukinywa unahisi kama kikohozi kwa mbalii sijui huwa ni nini? Ipo tofauti kabisa na juice zingine za matunda ya embe hata rangi yake iko tofauti yaani kiufupi imetofautiana na juisi zingine za embe kwenye kila kitu
 
Mbona inajulikana kua vinywaji vya kiwandani sio salama kwa afya, huezi kunywa azam cola iwe sawa na maji au maziwa.
Hivi kinachojadiliwa ni Azam Cola tena na si juice ya embe yenye hayo masumu?
 
Back
Top Bottom