Kwa sasa sina imani kabisa na bidhaa za Azam, hususani Embe

Kwa sasa sina imani kabisa na bidhaa za Azam, hususani Embe

Ingredients zote huwa zinaandikwa. Zile ambazo ni synthetic au zisizo natural huwa na E number (Food additives number according to EU).Mfano ascorbic acid ni E300 and sodium benzoate ni E211.
Kwenye beverages nyingi ziwe carbonated au zisizo carbonated huwa hizo chemicals zipo hata kwenye sayona tunda zipo.
Kweli kwenye sayona nimeona ila hizo mbili hazijachanganywa pamoja kama ilivyo kwenye azam embe
 
Back
Top Bottom