COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
Mkuu mavitu mengi tu mtaani wanayaweka hayo makitu kwa mfano mapilipili yakupikwa yanayouzwa mitaani almaarufu chachandu. Kama issue ni mbaya hata masoda na makorokocho mengine yafuatiliwe kwa ukaribu mkuuKinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.
Vipi ikiwa azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?
Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Waumie kiuchumi?Kwani Azam wenyewe wanasemaje? , mbona sioni clip wakitoa maelezo kuhusu Benzene inayotokana na mchanganyika wa hiyo Sodium Benzoate na Ascorbic Acid?
semaSoda kila mtu anajua si salama na tumeshajua ukweli. Shida ipo kwenye hizi ambazo tuliamini ndio kimbilio kwa wale tulioacha soda, maana kaandika ‘JUISI HALISI YA MATUNDA’ , matokeo yake kumbe kaweka Sodium Benzoate na Ascorbic acid huku akijua wazi mchanganyiko huu unazalisha Benzene inayoleta Cancer..., sasa hapo tukae kimya ndugu yangu?!
Tz kila aliyewekwa kwenye kitengo chochote, kipaumbele ni Pesa, sio uadilifu
azamu kateka soko la afirika mashariki wewe usipo nunua umpunguzii kitu ni sawa na kutoa nyasi moja kwenye nyumba itavuja?Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.
Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?
Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Halafu mimi wakati mwingine siaminigi kama Bakhresa anaweza kuwa anafanya biashara zenye madhara kwa watu.Yaani huwezi jenga msikiti kwenye kiwanda chako halafu hapo hapo unatengeneza na bidhaa zenye madhara kwa watu.nadhani atakuwa anasingiziwa huyu mtuKinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.
Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?
Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.
Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?
Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
SidhaniHivi huyu dr wille yupo bongo au
Ova
Sawa we endelea kunywa mauchafu hayo na mengi neyoazamu kateka soko la afirika mashariki wewe usipo nunua umpunguzii kitu ni sawa na kutoa nyasi moja kwenye nyumba itavuja?