True,uvunjifu wa Sheria kwao ni fursa.Tz kila aliyewekwa kwenye kitengo chochote, kipaumbele ni Pesa, sio uadilifu
Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.
Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?
Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Unaponunua chakula unakipimo,je akibadili lebo tu na akabakia na mchanganyiko huo huo nani atajuaNi sahihi kupaza sauti ili kuokoa maisha yetu na pia huenda akatafuta namna ya kurekebisha, 👍
Sio kwamba TBS na TFDA hawajui, hapana. Taarifa wanazo. Ila wamechagua maslahi binafsi over afyaTrue,uvunjifu wa Sheria kwao ni fursa.
Thus bongo tajiri kuwa jela kapenda mwenyewe
😅😅😅 YeahUrefu wa kamba au sivyo?!
Hakuna salama hapo badoZaidi ya maji ya kunywa, avoid all other soft drinks kabisa sokoni if you wanna live long.. Tengeneza juice zako za matunda nyumbani au fresh juice at any good restaurant, ila any industrial soft drink kimbia kabisa.
Maziwa nunua fresh yanayouzwa kwa wafugaji au kwa bill au magari ya maziwa fresh toka kwa wagugaji, nyama nunua fresh, juice nunua fresh au tengeneza home au kula matunda ya kutosha.
Umeelewa? Achana na business za watu.
Mfanyabiashara ndie anamuweka mwanasiasa madarakani, anaumiaje sasaWaumie kiuchumi?
Ndio maana alitoa ile neno "energy" kaweka extra ili ionekane kama sio eneji!? Na azam kaja na azam max lakini hajaandika kama ni eneji ukiangalia ingredients haina tofauti na energy...zote hazina tahadhari ya matumaini mpaka watoto wanakunywa sana mitaani. Hii nchi tunakula sana sumuUkistaajabu hayo halafu njoo ya mo sasa, ile sijui moextra unaambiwa ni soft carbonated drink CSD na hata kwenye ingredients utakuta hivyo, hii ni kupunguza kiasi cha kodi, yaani iko hivi energy drink zinakua na excise duty kubwa kumliko carbonated soft drink, ila deep down ni energy drink na washkaji wanazishambulia ile hatari yaani zina arosto kabisaa na hili liko wazi.
akili kichwani mwako usitegemee tfda wala nani akuambie.
Yes. tujiandae tu kutibu matatizo ya moyo huko mbeleni, waliopewa jukumu la kuangalia afya zetu washatusaliti, hamna tahadhari kama usinywe zaidi ya ngapi kwa siku, hata mama mjamzito atajinywea tu akiamini ni soda ya kawaida. Hii ni hatari zaidiNdio maana alitoa ile neno "energy" kaweka extra ili ionekane kama sio eneji!? Na azam kaja na azam max lakini hajaandika kama ni eneji ukiangalia ingredients haina tofauti na energy...zote hazina tahadhari ya matumaini mpaka watoto wanakunywa sana mitaani. Hii nchi tunakula sana sumu
Watu wanaangalia hela tu hawaangalii kizazi kijacho, kitakuwa madhara gani kama nguvu kazi itapungua ama laYes. tujiandae tu kutibu matatizo ya moyo huko mbeleni, waliopewa jukumu la kuangalia afya zetu washatusaliti, hamna tahadhari kama usinywe zaidi ya ngapi kwa siku, hata mama mjamzito atajinywea tu akiamini ni soda ya kawaida. Hii ni hatari zaidi
Ingredients zote huwa zinaandikwa. Zile ambazo ni synthetic au zisizo natural huwa na E number (Food additives number according to EU).Mfano ascorbic acid ni E300 and sodium benzoate ni E211.Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.
Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?
Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Unafikiri wachawi hawaendi kanisani au msikitini?Halafu mimi wakati mwingine siaminigi kama Bakhresa anaweza kuwa anafanya biashara zenye madhara kwa watu.Yaani huwezi jenga msikiti kwenye kiwanda chako halafu hapo hapo unatengeneza na bidhaa zenye madhara kwa watu.nadhani atakuwa anasingiziwa huyu mtu
Ile juisi ukinywa unahisi kama kikohozi kwa mbalii sijui huwa ni nini? Ipo tofauti kabisa na juice zingine za matunda ya embe hata rangi yake iko tofauti yaani kiufupi imetofautiana na juisi zingine za embe kwenye kila kituKinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.
Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?
Mfano, sayona tunda tutajuaje kama hajachanganya? Mpaka tuangalie kwenye vichanganyo tu? TBS, TFDA huwa wanafanya kazi gani?
Hivi kinachojadiliwa ni Azam Cola tena na si juice ya embe yenye hayo masumu?Mbona inajulikana kua vinywaji vya kiwandani sio salama kwa afya, huezi kunywa azam cola iwe sawa na maji au maziwa.
Maziwa ya kukamua mwenyewe au?Hata mm bora ninywe maji tu na maziwa