johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hahahaaaa...... Simba 3 Kaizer vhiefs 0!Mzee wa Ubelgiji anawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania😂😂😂😂
View attachment 1797539
View attachment 1797540
💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾 Sisi kwetu raha tu..!😂😂😂😂Magu analiwa na funza fashisti mkubwa ananuka ile mbaya mida hii
Huyu jamaa alitumbuliwaga kwa kuwa na vyeti feki ; namfahamu vizuri sana. Yeye alitumbuliwa na baada ya miezi minne tu kutumbuliwa! Ndowa yake ikavunjika, na mshikaji alikuwa na mkopo benki! baada ya mwaka mmoja na miezi sita , bank iliuza nyumba na mashamba yake mawili. Ndo maana anamchukia uncle magu huyo.Magu analiwa na funza fashisti mkubwa ananuka ile mbaya mida hii
Magu analiwa na funza fashisti mkubwa ananuka ile mbaya mida hii
Saiz imebaki mifupa tuMagu analiwa na funza fashisti mkubwa ananuka ile mbaya mida hii
Potelea mbali, bora jinamizi, nunda mla watu halipo. Jitu katili la roho za watu halipo. Shetwaini Lucifer halipo. Wcha waende Msoga, potelea mbali