Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

Huyu jamaa alitumbuliwaga kwa kuwa na vyeti feki ; namfahamu vizuri sana. Yeye alitumbuliwa na baada ya miezi minne tu kutumbuliwa! Ndowa yake ikavunjika, na mshikaji alikuwa na mkopo benki! baada ya mwaka mmoja na miezi sita , bank iliuza nyumba na mashamba yake mawili. Ndo maana anamchukia uncle magu huyo.
unalabdisha ujinga
 
Kwa hali hii wabunge wa Arusha Mjini,Mbeya Mjini,Iringa Mjini,Hai,Tarime,Ubungo,Kibamba, kawe na wengine wengi wajiandae kukabidhi majimbo kwani watakuwa wabunge wa awamu mmoja
 
Inapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.

Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea

Inapendeza sana.

Kazi Iendelee!
Watu wenye akili huongozwa na falsafa. Falsafa zikitofautiana, mnakuwa maadui, falsafa zikikubaliana mnakuwa marafiki.

Kama watanzania wenye akili na uelewa wanapinga uonevu, udikteta, uchumi primitive, na Rais naye akawa anapinga hayo hayo, ni lazima kundi hilo na Rais wataungana mkono.

Ufahamu kuwa wapinzani wanaungwa mkono zaidi na watu wenye uelewa na elimu nzuri, CCM inaungwa mkono na watu wenye uelewa mdogo, watu wajinga (TWAWEZA), ukiangalia sasa hivi, Rais Samia anayoyafanya, ndiyo mambo ambayo watu wenye akili, uelewa, elimu na upeo wamekuwa wakiyataka. Hivyo Samia ataungwa mkono na wengi wa wapinzani.

Wapinzani wengi wanaipinga CCM siyo kwa sababu ni CCM bali kwa zile falsafa hayawani ambazo mara nyingi zinatokana na aina ya kiongozi aliyepo.
 
Inapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.

Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea

Inapendeza sana.

Kazi Iendelee!
Urafiki wa kufisadi nchi hakuna lolote la maana
 
Tulichojifunza kwa miaka mitano na ushee ya uongozi wa nchi yetu uongozi siyo wakujaribisha. Ni muhimu sana tukatambua na kuikumbatia dhana ile ya kuandaa viongozi aliyeianzisha Nyerere. Kwa mfano katika taifa hili tukiachilia mbali kipindi cha mwalimu ni nani tunaweza kusema ameandaliwa kuwa rais wa Tanzania 2030, 40, .....

Nakumbuka kipindi kimoja Mwalimu aliwahi kuulizwa hivi: Mwl kwa kuwa Edward Moringe Sokoine ametangulia mbele za haki je ni nani amendaliwa kuwa rais?

Mwl. aliwajibu wapo wengi tu kwa upande wa wazee: Wapo Jaji Sinde Warioba, David Cleopa Msuya, na Salim Hamed Salim. Na kwa upande wa vijana wapo: Benjamin William Mkapa, "William Shija", Jakaya Mrisho Kikwete na, Edward Ngoyiai Lowassa.

Kinacho tuumbua leo ni kufikiri kuwa viongozi wa upinzani wakishirikiana na wa CCM ni dhambi. Tunawaza na pengine kushiriki hii dhambi ya ubaguzi bila kujua kuwa tunaiharibu nchi yetu na kusadifu ule msemo wa mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Je kuna shida ya mzee mwenye heshima kama Mh. Kikwete kushirikiana na watanzania wenye itikadi za tofauti za kisiasa kwa lengo la kushauri?. Dhambi ya ubaguzi haijawahi kumuacha yeyote yule salama!. Tujaribu kutafakari nchi hii ilivyo nzuri. Rejea kwa mfano kipindi cha bunge la mama Annah Makinda kipindi hicho kulikuwa na mambo mengi yaliitaji ufafanuzi na Mh. Spika mama Makinda alisikika mara kwa mara bungeni akisema hivi: " Mwanangu Lisu tunaomba ufafanuzi wa kisheria kwenye jambo hili.....Halima Mdee naomba tufafanulie hili....Mh. Andrew Chenge". Hakuyaelekeza macho yake Ufipa au Lumumba bali aliekeza fikra zake Tanzania.

Leo kwa wengine imekuwa nongwa Mh. Kikwete na Mh. Mwinyi Sr. wakitoa ushauri kwa ajili ya ustawi wa taifa letu. Hatuna wazee wengine waliobaki ambao wamewahi kushika nafasi juu kama hawa wa wili niliyowataja hapo juu.

Hii lugha ya ubaguzi tulioyojifunza hivi majuzi tuache haijengi nchi bali inabomoa. Turudi kwenye misingi iliyejengwa na wasisi wa taifa hili. Nyufa alizokuwa anazizungumzia Baba wa Taifa ndiyo hizi: SUKUMA GANG Vs MSOGA GANG, UFIPA Vs LUMUMBA territories. Hizi ni simulizi za kibaguzi ni nyufa.

Nini kifanyike: Vyombo vya usalama vihakikishe kuwa wanaoruhusiwa kuingia kwenye siasa ni watu wenye track records nzuri kimaadili nk.
Pia ni vyema tukakaa mbali na kauli za kibaguzi. Tumepewa nchi nzuri tupafanye pazuri.
 
Sukuma Gang imekufa na FASHISTI NDULI MWENDAZAKE
Tunapata habari kuwa huko kuzimu bwana pombe amekataliwa na shetani.
Shetani kadai hawezi kuishi na jitu lina roho mbaya, katili, liuaji, linawaza kuteka, kutesa na kudhulumu na kuua tu. Shetani anadai linataka kumpora mamlaka ya kuzimu kama lilivyopora uchaguzi mkuu 2020. Sasa shetani kasema kwa mtindo huo hawawezani kule kuzimu bora awashiwe moto wake au kama vp achukuliwe akatupwe kwenye Earth's core
 
kwa hiyo sasa hivi msoga gang na machame gang wanapiga collabo...?
 
Inapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.

Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea

Inapendeza sana.

Kazi Iendelee!
Ndiyo maana na wewe ukafukuzwa makao makuu
 
Tunapata habari kuwa huko kuzimu bwana pombe amekataliwa na shetani.
Shetani kadai hawezi kuishi na jitu lina roho mbaya, katili, liuaji, linawaza kuteka, kutesa na kudhulumu na kuua tu. Shetani anadai linataka kumpora mamlaka ya kuzimu kama lilivyopora uchaguzi mkuu 2020. Sasa shetani kasema kwa mtindo huo hawawezani kule kuzimu bora awashiwe moto wake au kama vp achukuliwe akatupwe kwenye Earth's core
Fashisti inatakiwa atupwe kwenye black hole akateseke kwenye Hilo shimo peke yake
 
Back
Top Bottom