Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

[emoji16][emoji16][emoji16]nakuona unavyoteseka mkuu.

Kwani si tulikubaliana baada ya kifo cha magu ni kazi na bata,au imabadirika na kuwa kazi na mabata[emoji23][emoji23]
Unasemaje mke wangu mbona sikuelewi elewi leo?
 
Magu yuko katika mioyo ya watu,ishieni kumnanga hapa hapa jf na huko twitter,otherways mtabakwa na wananchi.

Kama kafa na hana madhara tena,si muendelee na biashara zenu za kuuza vishimo!!![emoji23][emoji23]

Lissu,mbowe,ni wajanja sana,ukichunguza move zao wanamkwepa jiwe,wakimkataa wanamkataa na mama pia,nyinyi wajinga wajinga wahanga wa vyeti feki,mnarukia kila tawi.
Kwa hiyo Maiti ina mdhara? We kweli kuabudu magu kushakupotosha akili. Hiyo Maiti ina madhara kwako tu. Siungagi mkono wauwaji
 
Sasa hivi ndivyo limekuwa kuni za kuwachomea madhalim wenzake huko jehanam
giphy.gif
 
Kaka mkubwa punguza hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vinaudhi ndugu yangu, Azory, Ben, Mawazo, Cococ beach dead bodies ni watanzania kwanini waliuawa? ...wako wapi? Lisu na Lema wako wapi? unadhani wanafurahi kuwa uhamishoni? Biashara za watu ziko wapi? Watu wanaozea magerezani, kesi za kubambkikiwa kwanini? Watu wamekufa kwa covid 19 kwa ajili ya msimamo wake wa kishenzi etc etc etc....Hapana wacha lioze huko (nami nitaoza lkn sina mtu niliyemuua/muonea)
 
Nawewe utauawa mbwa wewe,kama una uchungu sana wafuate waliko.

Huyo lissu na lema watumieni nauli warudi,si mnadai kwa sasa nchi iko huru!!!!machoko nyinyi.
 
Nani anahangaika wewe kuku!!!
Sisi tunaendelea na maisha kama kawa,ajabu nyinyi mliokata tamaa na maisha mnajadili mpaka maisha yake huko kaburini[emoji3][emoji3]
Mke wangu punguza hasira mimba siyo ugonjwa.
 
Back
Top Bottom