Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

Inapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.

Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea

Inapendeza sana.

Kazi Iendelee!
Bwashee, siku zote Msoga na Ufipa wakishikamana, vitendo viovu hushamiri. Ujambazi, Utekaji, na matukio yenye viashiria vya ugaidi. Hapo hatujazungumzia Madili( Rushwa). Ujue Msoga na Ufipa ni watoto wa mjini. Hawana uchungu na nchi, hivyo kusema hawa jamaa wakielewana Amani hutawala, sio sahihi.

cc. Ripoti ya Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar iliyotolewa Jana.
 
Potelea mbali, bora jinamizi, nunda mla watu halipo. Jitu katili la roho za watu halipo. Shetwaini Lucifer halipo. Wcha waende Msoga, potelea mbali
Hata wewe inawezakuwa kuna mtu anakuona shetani kwa matendo uliyomfanyia kama ilivyo kwa Dk. Ulimboka anavyomuona Kikwete.
 
Inapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.

Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea

Inapendeza sana.

Kazi Iendelee!
Ukuda huu
 
Back
Top Bottom