Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Lilikuwa baya sana!Linatoa calories nyingi za kuwachoma mauaji menzake, loh sijui lilizaliwa wpi na ukatili ule.
Sasa hivi mi 10 tena kwa mama na belgiji aendelee kulelewa kwa amsterdam kwanza
Lilikuwa baya sana!Linatoa calories nyingi za kuwachoma mauaji menzake, loh sijui lilizaliwa wpi na ukatili ule.
Huku tukiimba mi 10 tena kwa mamaPambana na hali yako
Bora waibe lakini tuna amani yule alikuwa anapakuwa haswa na watu wachache sn alafu ikijengwa hata choo mtasimangwa mpk basi, suala la maendeleo kila mtu ajitafutie mradi tuwe huruKabisa! Dhalimu kaondoka na ccm itakuwa inajipigia tu kiulaini maana majamaa yamejipeleka yenyewe kibra
Unaruhusiwa kuimba kama una mudaHuku tukiimba mi 10 tena kwa mama
Kabisa mkuu!Bora waibe lakini tuna amani yule alikuwa anapakuwa haswa na watu wachache sn alafu ikijengwa hata choo mtasimangwa mpk basi, suala la maendeleo kila mtu ajitafutie mradi tuwe huru
Kabisa! Belgiji asubiri 2100 sasa hivi tuko na ccm ya mama.Unaruhusiwa kuimba kama una muda
Mkuu leo dawa hujameza nini?Kabisa mkuu!
Tuko vizuri chini ya ccm ya mama! Mi 10 tena kwao tafadhali.
Mkuu chukua hata za Deo Kisandu kama zako zimeishaKabisa! Belgiji asubiri 2100 sasa hivi tuko na ccm ya mama.
Atamlaani Magumungu akulaani kuanzia leo upate ugonjwa mbaya na ufe inshaallah
[emoji23][emoji23][emoji23]Naam ,IMEBAKI HISTORIA TU, CHATO AIRPORT SOON KUWA MAKAO MAKUU YA DIGIDIGI
Mkuu tuko na mama hadi 2100 belgiji asubiri kwanzaMkuu chukua hata za Deo Kisandu kama zako zimeisha
Mkuu tuko vizuri!mi 10 kwa mama na ccmMkuu leo dawa hujameza nini?
hahaha mbna na wewe funza wako wapo wanakusubiria wapo wanapiga zoezi saaahv, your a ticking bomb!Magu analiwa na funza fashisti mkubwa ananuka ile mbaya mida hii
Kwa wale wa enzi hizo, kumbukeni bango la urafiki wa wanyama. Simba anapiga gitaa, sungura anacheza na Tembo anapiga drum. wanyama wengine wanacheza dansa. Mwishowe walitafunana balaaaaInapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.
Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea
Inapendeza sana.
Kazi Iendelee!
Yale mateso ndiyo yamewaunganisha.Inapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.
Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea
Inapendeza sana.
Kazi Iendelee!
Kwa hiyo unaumia sana meno yao yakiwa nje, roho mbaya tuUfipa meno yote nje Kama ngedere
ni furaha kutangulia mwendazake mtekaji na muuwaji wa ben sananehahaha mbna na wewe funza wako wapo wanakusubiria wapo wanapiga zoezi saaahv, your a ticking bomb!
kutangulia sio kufika, wapo waliotangulia miaka mingi kabla lakini hawana tafauti na wanaotangulia saaahvni furaha kutangulia mwendazake mtekaji na muuwaji wa ben sanane
kwahiyo wewe ilikuwa ni furaha kwako kwa madhila aliyokuwa akiptia huyo jamaa?Huyu jamaa alitumbuliwaga kwa kuwa na vyeti feki ; namfahamu vizuri sana. Yeye alitumbuliwa na baada ya miezi minne tu kutumbuliwa! Ndowa yake ikavunjika, na mshikaji alikuwa na mkopo benki! baada ya mwaka mmoja na miezi sita , bank iliuza nyumba na mashamba yake mawili. Ndo maana anamchukia uncle magu huyo.