Vyovyote vile ilivyokuwa haiondoi ukweli kuwa magu alikuwa shetani katika umbo la binadamuHuyu jamaa alitumbuliwaga kwa kuwa na vyeti feki ; namfahamu vizuri sana. Yeye alitumbuliwa na baada ya miezi minne tu kutumbuliwa! Ndowa yake ikavunjika, na mshikaji alikuwa na mkopo benki! baada ya mwaka mmoja na miezi sita , bank iliuza nyumba na mashamba yake mawili. Ndo maana anamchukia uncle magu huyo.