antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kama ilivyo kwa ACT Wazalendo na SiSIEMUInapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.
Kama ilivyo kwa ACT Wazalendo na SiSIEMUInapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.
Anahaki ya kumchukia kwa nyama aliofanyiwaHuyu jamaa alitumbuliwaga kwa kuwa na vyeti feki ; namfahamu vizuri sana. Yeye alitumbuliwa na baada ya miezi minne tu kutumbuliwa! Ndowa yake ikavunjika, na mshikaji alikuwa na mkopo benki! baada ya mwaka mmoja na miezi sita , bank iliuza nyumba na mashamba yake mawili. Ndo maana anamchukia uncle magu huyo.
Nimekuelewa bwashee!Siasa za matukio mbaya sana, mwishowe utashangilia hata jambo litakalokuweka mtegoni mbele ya safari, bora liende tu, bado upinzani haueleweki seriously hasa wanachama na mashabiki wake.
Siasa za matukio unakuta jitu zima na mazivu yake linashangilia siasa za matukioAgiza guiness ya baridi sana mpaka inatoa jasho kaka mkubwa
Yule Mfu aliwafanya mukaona wapinzani Kama magaidi hata kuwapiga risasi mchana na mkaona aina shida na kushangilia. Mwambieni akawaamlishe malaika kuuwa pia. Alafu mijinga Kama wewe unashangaliaNdoa hii haiwezi kudumu miaka yote hiyo. Muda si mrefu mzee wa ubelgiji atageuza upepo na kama unavyojua nyumbu na wao wataufata. Kwa sasa inayotafutwa ni timing tu.
Nawe unarudia kosa lilelie haya!mungu akulaani kuanzia leo upate ugonjwa mbaya na ufe inshaallah
Kama alifikiri malaika Ni Mazezeta Kama nyinyi Akaamrishe na malaika kuuwa Sasa.Lisu analiwa na rob amster
Uo Utafiti ulifanywa kipindi kile Mzee wa Msoga yupo Ikulu na ndiyo CCM wakiogopa kuvaa na nguo zao mtaani kwa kuogopa kuzomewa ila si sasa..!! Ukiniambia sasahivi kuna upinzani Imara kama wa 2014 ni uongo. Ata sasa wanamsifia Mama tu kumjaza na Mama namuona na muoga wa kukosolewa na kusemwa vibaya lakini ajue anauchaguzi mgumu sana 2025.Watu wenye akili huongozwa na falsafa. Falsafa zikitofautiana, mnakuwa maadui, falsafa zikikubaliana mnakuwa marafiki.
Kama watanzania wenye akili na uelewa wanapinga uonevu, udikteta, uchumi primitive, na Rais naye akawa anapinga hayo hayo, ni lazima kundi hilo na Rais wataungana mkono.
Ufahamu kuwa wapinzani wanaungwa mkono zaidi na watu wenye uelewa na elimu nzuri, CCM inaungwa mkono na watu wenye uelewa mdogo, watu wajinga (TWAWEZA), ukiangalia sasa hivi, Rais Samia anayoyafanya, ndiyo mambo ambayo watu wenye akili, uelewa, elimu na upeo wamekuwa wakiyataka. Hivyo Samia ataungwa mkono na wengi wa wapinzani.
Wapinzani wengi wanaipinga CCM siyo kwa sababu ni CCM bali kwa zile falsafa hayawani ambazo mara nyingi zinatokana na aina ya kiongozi aliyepo.
Bado unaangaika na ibada ya Mfu.ndiyo mkome kuabudu watu2025 magufuli ndiye atakuwa rejea ya chadema katka kampaign.
Na mbaya zaidi nyumbu,kuku,mbung'o hasa hawa wanaomtukana watamshangilia sana[emoji28][emoji28].
Hiyo ndio siasa bwana.
Wajane wa yule dhalim mwendazake mnahangaika kama kuku anayetaka kutagaInapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.
Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea
Inapendeza sana.
Kazi Iendelee!
Sasa hivi ndivyo limekuwa kuni za kuwachomea madhalim wenzake huko jehanamPotelea mbali, bora jinamizi, nunda mla watu halipo. Jitu katili la roho za watu halipo. Shetwaini Lucifer halipo. Wcha waende Msoga, potelea mbali
Magu yuko katika mioyo ya watu,ishieni kumnanga hapa hapa jf na huko twitter,otherways mtabakwa na wananchi.Bado unaangaika na ibada ya Mfu.ndiyo mkome kuabudu watu
[emoji16][emoji16][emoji16]nakuona unavyoteseka mkuu.Sasa hivi ndivyo limekuwa kuni za kuwachomea madhalim wenzake huko jehanam
Na wewe unaliwa kibogaLisu analiwa na rob amster
Nayinyi mliochiwa mimba tumboni hamjui la kufanya mmetoa macho tu.Wajane wa yule dhalim mwendazake mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga
Linatoa calories nyingi za kuwachoma mauaji menzake, loh sijui lilizaliwa wpi na ukatili ule.Sasa hivi ndivyo limekuwa kuni za kuwachomea madhalim wenzake huko jehanam
Mbona mengi tu yanakua mavuzi tu huko chini[emoji23][emoji23]Siasa za matukio unakuta jitu zima na mazivu yake linashangilia siasa za matukio
Magu analiwa na funza fashisti mkubwa ananuka ile mbaya mida hii
Kaka mkubwa punguza hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Linatoa calories nyingi za kuwachoma mauaji menzake, loh sijui lilizaliwa wpi na ukatili ule.