Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nchi imebadilika hakuna wa kumuamini Tena ! Ukamataji wa kizamani hakuna atakayekubaliana nao Tena ,ukiona mwenzako anakamatwa mbele yako au wewe mwenyewe tambua kwamba unaenda kufa au kutupwa kusikojulikana ! Pigana kwa siraha zote uhai Hauna nyongeza sisi sote ni wazazi tuna watoto na wazazi na vitu muhimu kuliko siasa za kishamba zinazoendelea !! Hata aje IGP pigana ! Akija ffu pigana !! Akija na defender pikipiki au karandinga pigana Sana mpaka tone la mwisho usikubali kuchukuliwa na mtu yeyote !! Yeye au wewe wakufa afe !! Kama jeshi la polisi halitabadili style ya ukamataji ,hakuna atakaye waamini Tena !! Serikali inapiga tantalila sijui wachungaji matapeli sijui tunafuta usajili wa makanisa ambayo hayajasajiliwa vizuri inasaidia nini ?makamu wa rais kama una huruma na watanzania masikini basi achana na mambo ya sadaka kemea huu ushetani wa kuuwana bila sababu !! Narudia Tena usikubali kutekwa wala kuchukuliwa mpaka polisi watakapo taja mbinu mpya ya kutuhakikishia usalama wetu!!