Kwa sasa usikubali kukamatwa na mtu yeyote hata kama anavielelezo ,na usikubali mtu akamatwe mbele yako pigana mpaka kufa hatuna Tena wa kumuamini ,

Chadema nawashauri watembee kwa makundi..

Hali ishabadirika, pia hii ni mbaya. Je Chadema nao wakianza kujibu mashambulio itakuwaje? Ikumbukwe Vyama vingi ikiwemo MCC kuna kundi kubwa la vijana ambao hawafichi hisia zao juu ya Chama chao.. so ni very easy kuwabaini.

Mie nashauri CDM wawe wapole.. wasijibu mashambulio. Na hao watu wanaofanya hivyo waache.
 
Zacharia asingekuwa jasiri, huenda asingekuwa hai mpaka sasa hivi. Aliyajeruhi hayo maharamia wawili yalikimbia kama hayana akili.
 
Mzee vinakuja vipande vya mraba vinne unapiganaje?
Mwanaume wewe tumia silaha yoyote ukishindwa kuwang'ata na meno ita Munguuuuuuuuuu Munguuuuuuuu lolote laweza tokea ukapona tusiiamini serikali tena. Polisi ndio wauwaji ile dhana ya usalama wa raia haipo tena.
 
Tunaogopa mtutu wa bunduki, akiachia moja tu maini yatahama tumboni. Labda tuwe na ujasiri wa Wakenya. Nikimjua huyo polisi halafu anaekamatwa afariki, labda awe anaishi ikulu.
 
muhimu zaidi ni kujitenga na magenge ya kihalifu ili usishukiwe na vyombo vya kiuchunguzi 🐒
 
Ni bora kufia kwenye eneo la utekaji kuliko kwenda kutupwa mtoni. Sintokubali kukamatwa hata na askari Mwenye uniform. Namaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…