Kwa sasa usikubali kukamatwa na mtu yeyote hata kama anavielelezo ,na usikubali mtu akamatwe mbele yako pigana mpaka kufa hatuna Tena wa kumuamini ,

Upole upi
 
Msiojulikana mjipange, mkija kitaani kwetu kizembe, ni mwendo wa kiberiti tu.
 
Kila mmoja amiliki short gun kwa kweli. Yaani watanzania tujilinde na hili kundi la wahuni
 
Kila mmoja amiliki short gun kwa kweli. Yaani watanzania tujilinde na hili kundi la wahuni
Short gun si rahisi kumiliki labda mapanga shaa, short gun utasubiri sana hadi upimwe afya ya akili wakati huo kati ya wa 4 mmoja wenu anatatizo la afya ya akiri, taarifa toka wizara ya afya
 
Hili ni tatizo kubwa sana, wezi, majambazi, wahasimu wako wa kibiashara waanaweza kujifanya polisi, usalama na kukuteka.
 
Tunaogopa mtutu wa bunduki, akiachia moja tu maini yatahama tumboni. Labda tuwe na ujasiri wa Wakenya. Nikimjua huyo polisi halafu anaekamatwa afariki, labda awe anaishi ikulu.
Hakuna ambae hatokufa kaka uhuru wa kweli kifo
 
Watanzania tuna shida. Si ilisemwa kuwa, kwa sasa akija mtu kumkamata mtu mbele ya halaiki ni kumpiga yule mkamataji?

Sasa jiulize, mzee Kibao ametekwa ndani ya bus, ina maana dereva alishindwa kufunga mlango automatic halafu abiria wakaanza kuwashughulikia hao majambazi?

Tanzania usalama wako ni wako usitegemee kusaidiwa na watu!
 
Sio tanzania hii mzee
 
Kweli kabisa ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…