Kwa sasa usikubali kukamatwa na mtu yeyote hata kama anavielelezo ,na usikubali mtu akamatwe mbele yako pigana mpaka kufa hatuna Tena wa kumuamini ,

Zacharia asingekuwa jasiri, huenda asingekuwa hai mpaka sasa hivi. Aliyajeruhi hayo maharamia wawili yalikimbia kama hayana akili.
Ukweli umenikumbusha mbali kipindi hicho cha tukio nlkua Musoma ilikua siku ya Jpili yakitokea hayo Zakaria ni mfano wa kuigwa alafu Moja alilolijeruhi nasikia lilikufa na Sukari kwenye kidonda chake
 
Nimekumbuka wakati nipo MONGOLIA miaka ya 70
 
Tulipofikia kwa kweli hakuna wa kumuamini tena. Kama watu wanabeba silaha za kijeshi waziwazi na kuteka watu na hawakamatwi hapo kuna usalama kweli?
 
Ukweli umenikumbusha mbali kipindi hicho cha tukio nlkua Musoma ilikua siku ya Jpili yakitokea hayo Zakaria ni mfano wa kuigwa alafu Moja alilolijeruhi nasikia lilikufa na Sukari kwenye kidonda chake
Naikumbuka hii
 
Tulipofikia kwa kweli hakuna wa kumuamini tena. Kama watu wanabeba silaha za kijeshi waziwazi na kuteka watu na hawakamatwi hapo kuna usalama kweli?
Ninani aliwaambia huyo mzee atasafiri na Hilo bus asubhi Ile?
 
Leo kwenye group LA majirani na mtaani tumeambizana kuanzia sasa kila MTU ajitahidi kununua filimbi ...

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa kesho jioni tutakutana naye ...na moja ya mambo ni kumueleza wakija watu kuchukua MTU kwa JINA LA POLISI lazima awe na kitambulisho ..

Mengine tutajua kesho jioni ... Lakini wadau wengi wamesisitiza kama hao wasiojulikana wanakuja na Silaha Kali ni lazima kuhakikisha watu wanakuwa na Silaha za jadi ...

Tunahitaji umoja sana sasa hivi ... Kwakuwa Polisi wameshasema Mara nyingi sio wao ...japo kwa jicho LA tatu ni vikosi hatari vya humo humo ndani
 
Vp Kwan raia hawakumbaini hata askar yyte aliemkamata?inatakiwa hata mmoja afanyiwe sample amabayo pia itampa maumivu regardless ni nani alieumizwa...hii itasaidia na wao kusoma mchezo kuwa kumbe na wananchi wanashaamua kufanya yao
 
Siku tumetulia ilipigwa simu nahitajika kituoni option zilikua mbili tu niende mwenyewe ama waje wanibebe
 
Hizi nchi zote zenye civil wars walianza na upumbavu kama huu wa kuonea watu kuwateka na kuwaua etc, wanasahau raia Wana nguvu kuliko serikali au polisi mara milioni, fikiria raia 200,000 waandamane kuelekea Ikulu na kuizunguka kutaka Raisi ajiuzuru na hakuna kitu kinatoka au kuingia, na watu lakini mbili wakiamua kuingia ndani ya Ikulu utawazuia vipi au utaua wangapi? ni swala la muda tuu polisi wataanza kutupa uniform zao na kujificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…